Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Nili kaa na gf kwa miaka 12 mahusiano yakaishia njiani, aliefuata ni mekaa nae Miezi 5 tu, wala sita tukafunga ndoa. Nini kikitokea mie sijuiHivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?