Wanaume jibuni hili swali

Wanaume jibuni hili swali

Masotojo!
Wewe ulikua unanipa papuchino kwa masharti,mwenziio anaweka mguu mpaka dirishani na alfajiri ananikumbusha nipige AMSHA POPO kwa Nini nisoe fasta? Licha ya hivyo anajua kupika mahalat,mahanjumat,masotojo ,marosti tanduri,wakati wewe ukipika dagaa chuzi bwawa Kama la ngomani Nani akuie😳😳
To
 
Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
-Kuna ambao wanakulupuka wakifikiri itamuuma X wake.

-kuna wengine wanakuaga hawana hela kwaiyo analazimika kujiweka kwanza kwa demu kwa sababu hana options nyingine, huyu akijipata ataenda kwa mwanamke ambae ni chaguo lake.
 
Sijawah kumpenda mtu ila huwa namhurumia mtu anavyojitoa kwangu,hvyo siwez fanya hvyo
WEwe ni kama mimi suala la kupenda kwangu ni upuuzi tu. Ukiondoa upwiru sina haja nyingine ya mwanamke katika maisha yangu. Huyu niliyenae pamoja na kuwa na tabia njema vile vile huruma kutokana na sacrifices zake kwangu ilichangia kufanya maamuzi ya kumuweka ndani.
 
Wa miaka mingi hao ndio wapenzi wetu hata wakiolewa tunaendelea kupiga hata hawa tunao oa wana jamaaa zaoo so hapoo ni kubadilishana tyuu
 
WEwe ni kama mimi suala la kupenda kwangu ni upuuzi tu. Ukiondoa upwiru sina haja nyingine ya mwanamke katika maisha yangu. Huyu niliyenae pamoja na kuwa na tabia njema vile vile huruma kutokana na sacrifices zake kwangu ilichangia kufanya maamuzi ya kumuweka ndani.
Umemuweka ndani demu wangu kaka
 
Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
Anakuwa anajiandaa kupigwa tukio, anahadaika na kitu kidogo bila kujua tabia.
 
1000022346.jpg
 
Mtu anaweza kuwa na mtazamo tofauti juu ya maisha baada ya uhusiano wa muda mrefu. Anaweza kutambua kuwa anataka kitu tofauti, na akipata mtu anayelingana na mawazo yake mapya, anaamua kuoa fasta tu.

au labda Baada ya kuwa kwenye uhusiano muda mrefu usiofanikiwa, mtu anaweza kuwa na ufahamu zaidi wa kile anachotaka kwa mchumba wa ndoa.(hii wachache wataelewa) Akikutana na mtu mpya ambaye anafiti vigezo hivyo, haoni haja ya kupoteza muda mwingi tena.
Lakini wewe umetumia zaidi neno mtu badala ya kufocus na swali linalohusu mwanaume mtu na si mtu
 
Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
Sasa kama ulikuja kugundua n bogus na haujapata replecement si unaendelea kuzuga zuga nae ukipata mwenye akili timamu unaachana nae chap.
 
Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
Kama hujitambui hata uwe wa miaka mitano unaachwa tu.Bure kabisa.
 
Hivi inakuaje unakaa na mwanamke kwenye uhusiano kwa muda mrefu inaeza kuwa miaka hata mitatu au zaidi lakini unamuacha alafu unaenda kuoa mwanamke ambae umejuana nae ndani ya miezi kadhaa tu, tena wengine hata miezi mitatu inakuwa haijafika na unafunga nae ndoa. Kwanini mnafanyaga hivi?
Unagundua kuwa huyu wa miezi 3 amekuonyesha uwezo wake wa kiakili na wa kuwa mama mwenye mji kuliko yule wa miaka mitatu.
Kama sijawa tayari kuoa naweza kuwa nina li slay queen nadumu nalo hata miaka 3 ila moyoni najua huyu starehe tu hana akili ya kujenga maisha.
 
Usikae na mtu muda mrefu hamjaoana....kuwa na muda wako maalumu....haonyeshi dalili jua si wako huyo
Kuchunguzana hakupo sikuhizi,mtu mwema mbona mwezi tu unamjua
Tabia haijifichi
 
Back
Top Bottom