Wanaume jibuni hili swali

Masotojo!
To
 
-Kuna ambao wanakulupuka wakifikiri itamuuma X wake.

-kuna wengine wanakuaga hawana hela kwaiyo analazimika kujiweka kwanza kwa demu kwa sababu hana options nyingine, huyu akijipata ataenda kwa mwanamke ambae ni chaguo lake.
 
Sijawah kumpenda mtu ila huwa namhurumia mtu anavyojitoa kwangu,hvyo siwez fanya hvyo
WEwe ni kama mimi suala la kupenda kwangu ni upuuzi tu. Ukiondoa upwiru sina haja nyingine ya mwanamke katika maisha yangu. Huyu niliyenae pamoja na kuwa na tabia njema vile vile huruma kutokana na sacrifices zake kwangu ilichangia kufanya maamuzi ya kumuweka ndani.
 
Wa miaka mingi hao ndio wapenzi wetu hata wakiolewa tunaendelea kupiga hata hawa tunao oa wana jamaaa zaoo so hapoo ni kubadilishana tyuu
 
Umemuweka ndani demu wangu kaka
 
Anakuwa anajiandaa kupigwa tukio, anahadaika na kitu kidogo bila kujua tabia.
 
Lakini wewe umetumia zaidi neno mtu badala ya kufocus na swali linalohusu mwanaume mtu na si mtu
 
Sasa kama ulikuja kugundua n bogus na haujapata replecement si unaendelea kuzuga zuga nae ukipata mwenye akili timamu unaachana nae chap.
 
Kama hujitambui hata uwe wa miaka mitano unaachwa tu.Bure kabisa.
 
Unagundua kuwa huyu wa miezi 3 amekuonyesha uwezo wake wa kiakili na wa kuwa mama mwenye mji kuliko yule wa miaka mitatu.
Kama sijawa tayari kuoa naweza kuwa nina li slay queen nadumu nalo hata miaka 3 ila moyoni najua huyu starehe tu hana akili ya kujenga maisha.
 
Usikae na mtu muda mrefu hamjaoana....kuwa na muda wako maalumu....haonyeshi dalili jua si wako huyo
Kuchunguzana hakupo sikuhizi,mtu mwema mbona mwezi tu unamjua
Tabia haijifichi
 
Ukiona hivyo ujuwe mwanamke amechemsha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…