Wanaume jibuni hili swali

Nili kaa na gf kwa miaka 12 mahusiano yakaishia njiani, aliefuata ni mekaa nae Miezi 5 tu, wala sita tukafunga ndoa. Nini kikitokea mie sijui
 
Mwanaume mpaka anao ujue haja kurupuka lazima anakua na wapenzi zaidi ya mmoja kwahiyo we unaweza kuzani mwanamke alio muoa walikutana si chini ya miezi sita, Pia tunapima tabia kuna wanawake hawaheshimu Wanaume kutoka na malezi yao utakuta msichana ana watukana Kaka zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…