Wanaume karibuni tutengeneze na kunywa juice ya mchanganyiko huu

Wanaume karibuni tutengeneze na kunywa juice ya mchanganyiko huu

gasgas

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
1,092
Reaction score
986
Mahitaji:
Vitunguu swaumu kadri uwezavyo
Tangawizi kadri uwezavyo
Asali mbichi kwa ajili ya ladha.

Andaa viungo vyako (vitunguu na tangawizi), weka kwenye blender na maji ya kutosha. Saga hadi itengeneze juice/uji fulani hivi.

Chuja kwa kutumia chujio upate juice. Weka asali kwa kiwango ambacho ladha ya juice itakaa poa.

Umemaliza.

Advantages: Vitunguu swaumu na tangawizi zina active ingredients allicin na gingerol respectively.

Zinasaidia msukumo wa damu kuwa mzuri, mishipa ya damu kurelax (vasodilatation). Hii ni kwenye peripheral blood vessels including hapo chini kwa jamaa.

Zinasaidia wale wenye kisukari kupata glycemic control nzuri na inastabilize blood pressure. (Inapunguza Total Peripheral Resistance)

Ni antioxidants hivyo zinasaidia kuscavenge harmful free radicals, reactive oxygen species. Inapunguza hatari ya kupata cancer kwa kiasi chake.

Na faida nyingine nyingi

Kwa watakaokuwa interested mnaweza mkaingia scholar.google.com mkacheki articles kuhusu tangawizi na vitunguu swaumu.

Karibuni
IMG_20200208_183251_5.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu ukisalimiana tu na mwanamke baaasi, kichwa cha chini kinasimama dede! Ukiona mguu au paja la demu, mnara utasoma hadi utaona aibu!

Alafu ukishachanganya na asali, vinaweza kukaa hata siku 3 bila kuharibika wala kubadili ladha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamuishi kutapatapa kila kukicha Wanaume wa huko Daslam

Sent using Jamii Forums mobile app
Unakunywa kwa ajili ya faida za kiafya mzee.
Hiyo ya nguvu ni bonus tu.

Ila ina faida nyingine kemkem.
Halafu ukiweka asali inakuwa na bonge moja la ladha. Tamu kichizi.

Nimeonja kidogo nataka nitengeneze nyingi zaidi

Sent using .... who cares anyway
 
Wakuu bado hamjaijaribu hii?

Sent using .... who cares anyway
 
Vipi inapunguza unene?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Najishughulisha na uuzaji wa huo mchanganyiko tajwa hapo. Karibuni tuna delivery kote nchini TANZANIA.
karibuni
 
Kwahiyo hii na ile Al-kasusi nani anamzidi mwenzie?
Kasusu ni sumu mnawekewa Viagra bila kujua nakushauri kama mpenzi wa kinywaji hiki achana nacho mara moja,search humu kuna uzi wadau walitiririka kuhusu jambo hilo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Wa Dar ndo wanatangaziwa juisi kama hizo
Masuala ya kucontrol kisukari, presha, kinga ya mwili na kinga dhidi ya kansa haujayaona kabisa.

Au wa mkoani hawaumwi magonjwa hayo?

Sent using .... who cares anyway
 
Back
Top Bottom