Wanaume karibuni tutengeneze na kunywa juice ya mchanganyiko huu

Wanaume karibuni tutengeneze na kunywa juice ya mchanganyiko huu

Mrejesho:

Jana baada yakuuona huu uzi niliingia sokoni nakununua asali mbichi, tangawizi, navitunguu swaumu ilinigharimu kama elfu 7 only. Nilipofika home nikaanza kuviandaa, Shemeji/wifi yenu aliponiuliza nivyanini hivyo nilimjibu nidawa yakifua.

Akanisaidia kuvichambua vitunguu swaumu namwisho kabisa ikaandaliwa juisi sio nyingi niliandaa kwa ajili yakuitumia mda huohuo sikutaka ibaki. Kiukweli nikiboko kwanza ni nzuriii naweza sema nikiburudisho tosha.

Maswali yangu:
1:Je natakiwa niwe natumia baada yakula ama kabla yakula.

2: Je niwe natumia baada yamda gani au isipite mda gani bila kutumia?

Nihayo2 ndugu zangu ila inatia hamu yakuto...mba kiukweli abarikiwe aliyeuleta huu uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
flulanga, Wacha wee. Ukajimwaga na shem au sio.

Matumizi yake depends na nafasi yako.

Ukiweza kupata kikombe kimoja asubuhi na kimoja jioni sio mbaya.

Mi natumia hiyo badala ya chai na pia nakunywa pamoja na dinner

Matumizi yake ni unlimited.

Ni kama kiburudisho chenye faida za kiafya.

Mi nataka hii kitu ireplace chai kwenye menu yangu

Sent using .... who cares anyway
 
gasgas, Nipe Mchanganuo,

Kama unahitaji Juice ya Ujazo wa Chupa ya Darasa Unatumia Vitunguu Vingapi na Tangawizi Ngapi na Ujazo kiasi Gani Wa Asali Ili kupata Uwiano Mzuri na juice yenye ubora?
 
gasgas, Nipe Mchanganuo,

Kama unahitaji Juice ya Ujazo wa Chupa ya Darasa Unatumia Vitunguu Vingapi na Tangawizi Ngapi na Ujazo kiasi Gani Wa Asali Ili kupata Uwiano Mzuri na juice yenye ubora?
Kiukweli mimi sikutumia vipimo maalumu,

Nilijipimia tu hela niliyokuwa naho na idadi ambayo ningeweza kuafford.

Ni kama juice ya matunda. Titrate kulingana na ukali

Sent using .... who cares anyway
 
gasgas,
Mkuu ingependeza kama ungeiweka kwenye Glass nyeupe ili tuone rangi yake kwa uzuri kabisa.
 
Hongereni kwa kujali 'heshima' na afya zenu

i must say ukitumia kwa muda mrefu ni kweli kabisa vinasaidia;
Vingine navyovijua ni pamoja na;
Ndizi mbivu
Tende
Karanga/korosho/almonds
Maziwa mtindi
 
Back
Top Bottom