Wanaume kazini

kabebeshwa dunia huyo........mzee mwenzangu kama ulikuwa hujui uko ndiko kuibeba dunia
 
iyo sio level unayofikiria wewe mazoezi kama hayo hebu mtafute traffic yyt umwambie afanye ivo ushuhudie ushuzi wakijani ukitoka
 
iyo sio level unayofikiria wewe mazoezi kama hayo hebu mtafute traffic yyt umwambie afanye ivo ushuhudie ushuzi wakijani ukitoka
Kila mtu anakuwa trained kutokan na duty atazo enda kuzifanya mkuu
 
Mafunzo ya kibwege,vita akili,sio mibavu...
Kakudanganya nani??

Lazima huwe na utimamu wa mwili na akili, kuna sehem unatakiwa huweze kuchukua amria haraka n kutekeleza haraka, nguvu zinatakiwa.

Vita sio mnayo ona kwenye game, real life halipo vile

Kuna silaha zina kilo 4_ ku ibeba na kulenga target lazima huwe vizuri, some timez unaweza jikuta siku 4_ hujalala na watakiwa kusonga front, kama mshike mshike hujazoea nin kinafata??
 
kuna vitu vya kucomment.....mtanzania mwenzangu tafadhali comment picha na maelezo ya aliye toa uzi huu sio jeshu letu.....JWTZ ni kitu kingine otherwise unapenda movie za akina Rambo
 
kuna vitu vya kucomment.....mtanzania mwenzangu tafadhali comment picha na maelezo ya aliye toa uzi huu sio jeshu letu.....JWTZ ni kitu kingine otherwise unapenda movie za akina Rambo
Sahihi mkuuu
 
mkuu mi nnavoelewa taasisi makini katika nchi yoyote ile duniani ni jeshi.....tuwapende askari wetu
Wakitaka waone umuhim na aman, siku jeshi liende off.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…