Dusko Tadic
Senior Member
- Nov 22, 2014
- 171
- 96
Kumbe kuna mazoezi ya kutengeneza kitambia ukiacha yale ya 6 packs?![]()
Hata hii huiwezi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kuna mazoezi ya kutengeneza kitambia ukiacha yale ya 6 packs?![]()
Hata hii huiwezi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kumbe kuna mazoezi ya kutengeneza kitambia ukiacha yale ya 6 packs?
kabebeshwa dunia huyo........mzee mwenzangu kama ulikuwa hujui uko ndiko kuibeba duniaHapa lazima uwe na utimamu wa mwili.
Yanafanyika mengi magumu ili askari wawe fit waweze kulinda raia na mipaka ya nchi.
Hebu tupende na kuheshimu askari wote wanafanya na kupitia mengi kwa ajili yenu, mengine ni makosa ya kibinadamu
teh teh teh![]()
Hata hii huiwezi?
Basi kila siku uwe unaifanyia mazoezi baada ya mwezi nakuhakikishia miwili wako utakuwa vizuriteh teh teh
hii naiweza aiseee
Unaweza nini mkuu?Aiseeee.
Ndio maana siliwezi jeshi aiseeee.
Kakudanganya nani??Mafunzo ya kibwege,vita akili,sio mibavu...
mkuu mi nnavoelewa taasisi makini katika nchi yoyote ile duniani ni jeshi.....tuwapende askari wetuSahihi mkuuu
kwa hali hii likitokea la kutokea wachache tu watapigania nchi ukiachilia mbali askari wetu hodariWakitaka waone umuhim na aman, siku jeshi liende off.
kweli mkuuWapo raia wazalendo wachache,