Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
?Hapa lazima huwe na utimamu wa mwili.
Yanafanyika mengi magumu ili askari wawe fit waweze kulinda raia na mipaka ya nchiView attachment 353428
Hebu tupende na kuheshimu askari wote wanafanya na kupitia mengi kwa yenu, mengine ni makosa ya kibinadamu
Kama hujui kitu ni bora usitoe coment kwa ujasiri . Kama hujui uliza.Yaani maisha kama haya unawafunza watu watumikie vikosi maalum kwa mafunzo ya uweledi wa hali ya juu na gharama kubwa unampeleka ughaibuni kwenye mapambano anadunguliwa na mtu asiye kuwa na mafunzo wala nini na kuwapa hasara kubwa!
Ha ha ha!Yaani maisha kama haya unawafunza watu watumikie vikosi maalum kwa mafunzo ya uweledi wa hali ya juu na gharama kubwa unampeleka ughaibuni kwenye mapambano anadunguliwa na mtu asiye kuwa na mafunzo wala nini na kuwapa hasara kubwa!
Bulombora moja hiyo mkuuUnakumbukia wapi mkuu..?
Yanamfanya askari aweze kufanya mashambulizi ya style ya popo.Hayo mazoezi yanasaidia nini sasa ?? nauliza tu!!