Wanaume kazini

Wanaume kazini

Hayo mazoezi yanasaidia nini sasa ?? nauliza tu!!
Mazoezi ya kijeshi hua ni mazoezi ya ajabu sana ukiyaona utajiuliza hasa yanasaidia nini?
Kimsingi yanalenga
1. Kukupa uvumilivu
2. Ukakamavu
3. Kukuumiza ujutie kwanini umetenda kosa flani (adhabu)

Uvumilivu utakusaidia wakati wa Shida(vita) hata ikitokea umetekwa na adui inatakiwa hata akupe mateso kiasi gani we unakomaa tu mpaka kufa usitoe siri ya jeshi wala nchi yako, au mko vitani mnakutana na hali ngumu kama njaa, miundo mbinu mibovu huo uvumilivu utakufanya uishi bila kuumia sana.
Hilo tizi ni hatari mkuu (kunyonya mafuta/90degree)
 
Back
Top Bottom