Wanaume kujichubua/kutumia vipodozi au Mikorogo

Wanaume kujichubua/kutumia vipodozi au Mikorogo

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa sasa kujichubua/kutumia mikorogo shida ni nini,JE CHANZO NI WANAWAKE?

Unakutana na anko mloachana 7 years akiwa mweusi leo ni mweupe, au anakuwa na rangi mbili, shida nini, nini kifanyike kunusuru vijana wetu/wenzetu wa kiume.


Hii imekuwa siyo Darisalama tuh hata huku mkoani naona wanaume wengi/vijana wakitumia mikorogo je inatokana na kuuzwa kwa hiyo mikorogo kila sehemu?naamanisha upatikanaji wake kirahisi?
ETY NI KWELI DADA ZANGU MNAPENDA WANAUME WEUPE?

MAJIBU MAREFU MAREFU TAFADHALI NINA KAZI NAYO
images.jpeg-1.jpeg
images.jpeg.jpeg
images.jpeg-2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku Serikali ikisema WALIWA ruksa kujitangaza ndipo mleta post hutatumia neno MWANAUME katika picha kama hizo.
 
Back
Top Bottom