Wanaume kujichubua/kutumia vipodozi au Mikorogo

Wanaume kujichubua/kutumia vipodozi au Mikorogo

The way inavyoenda hii argument haioneshi kuisha.

Mimi nakubali 100% kwamba kuna wanaojichubua, at the same time kuna ambao rangi inang'ara kwa sababu ya kubadili mazingira.

Nitabaki na msimamo wangu, na sikulazimishi kukubaliana nao kama vile ambavyo hunilazimishi kukubaliana na msimamo wako.
Nimefatilia mazungumzo yenu kwanza hongera kwa kuwaelewesha japokua wao walitaka muanze kukaa kusengenya watu ooh flan anajichubua sijui anajibleech lakini hukuwapa hiyo nafasi.

Big up kaka mkubwa.
 
Mleta mada what exactly your point?
Kua kujichubua ni ruksa kwa mwanamke na vibaya kwa mwanaume? kua mwanaume anayejichubua unamtafsiri vipi?

Dude, unawezaje kukaa na kusengenya wanaume wenzio kua wanajichubua tukisema unawaonea wivu tutakosea??

The world would be a better place if every one would mind their own f.u.c.k.i.n business.

Damn!!!
 
punga alafu siwezi mwonea wivu mwanaume anayejichubua ,aliyejichubua, nina weupe wa asili,siyo sawa kwa woye me na ke kujichubua, ushawahi ona mzungu anataka kuwa mweusi ??

VICHWA MAJI SANA SISI WAAFRICA BAADHI YETU LAKINI
MBONA KAMA UNATESEKA USIJUTE BABY AKO YUMO MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una weupe wa asili kwa hiyo unawaonea wivu wenzio wenye weupe wa kujichubua?? hahaha they steal all hot girls out there hunh!! bwahahahaha

Very Pathetic.
 
Back
Top Bottom