wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hahah nimuuliza mdau ngoja tusubiri jibu.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa hapa tunazungumzia kujichubua boss, kutoka pure black to white, sawa alafu naona unawatetea sana we mmoja wao nini??Kuna genetics issues na environmental issues. Kuna watu wanajikuta ni weusi kwa sababu ya kazi anazofanya na mazingira anayoishi.
Mfano watu wanaofanya kazi za kukata mkaa, kuna ile unashinda juani na mivumbi hata uangavu wa sura hauonekani, siku mazingira yakichange, lazima na sura iwe angavu. Hata kama ni weusi unakuwa ule wa angavu.
[emoji23][emoji23] anataka siyo mnataka bossKwahiyo mnataka kusema sudan kusini hamna watu wanaoishi maisha mazuri?!
Kuna genetics issues na environmental issues. Kuna watu wanajikuta ni weusi kwa sababu ya kazi anazofanya na mazingira anayoishi.
Mfano watu wanaofanya kazi za kukata mkaa, kuna ile unashinda juani na mivumbi hata uangavu wa sura hauonekani, siku mazingira yakichange, lazima na sura iwe angavu. Hata kama ni weusi unakuwa ule wa angavu.
Kuna mdau hapo juu anasema Ngolo Kante naye vipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Chanzo nini boss?Mwili wote mkuu,chunguza utaona..au angalia friends zako wa primary au sec now wakoje linganisha na zamani
But ni kweli wapo wanaume wanaojichubua
mpoki ni mweupe usoni alafu mikononi mweusi? joti je?Nimeshajibu. Mfano kuna zile picha za Joti na Mpoki za zamani na sasa.
Mpoki bado ni mweusi lakini siyo kama weusi ule wa zamani. Utasema anatumia mkorogo?
So mkuu ule weusi wa Ngolo Kante unauona ni angavu sio?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda nimeshindwa kuelezea katika mfumo ambao utanielewa, exceptions huwa lazima ziwepo.
Jiangalie wewe alivyokuwa kitaa na baada ya kuanza kazi kula vitu vya mafuta, kuiga mara mbili kwa siku, unafanya kazi kwenye kiyoyozi, unatembelea kwenye gari lako hukutani na vumbi, etc bado unafanana vilevile?
Daah mkuu mimi niko vilevile na hata ndugu zangu/marafiki zangu tulio kua wote hakuna aliyekua mweupe zaidi ya kurefuka na kunenepa mwili tu kiongozi.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Na hujawahi kuona wanaobadilika bila kujichubua?
Umeshawahi kuwa karibu na watu wanaofanya shughuli za kuchoma mkaa?
Na sijawahi kuona aliyetoka kwny weusi kwenda weupe sababu ya mazingira mazuri(kiyoyozi,vyakula vya mafuta etc).
Hapana sijawahi kuwa nao karibu,vipi watu wanaofanya kazi kwny saloon za kike ushawahi kuona wanavyobadilika?
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasira hana pesa?haishi vizuri?
Sent from my iPhone using JamiiForums