Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa sasa kujichubua/kutumia mikorogo shida ni nini,JE CHANZO NI WANAWAKE?
Unakutana na anko mloachana 7 years akiwa mweusi leo ni mweupe, au anakuwa na rangi mbili, shida nini, nini kifanyike kunusuru vijana wetu/wenzetu wa kiume.
Hii imekuwa siyo Darisalama tuh hata huku mkoani naona wanaume wengi/vijana wakitumia mikorogo je inatokana na kuuzwa kwa hiyo mikorogo kila sehemu?naamanisha upatikanaji wake kirahisi?
ETY NI KWELI DADA ZANGU MNAPENDA WANAUME WEUPE?
MAJIBU MAREFU MAREFU TAFADHALI NINA KAZI NAYO
View attachment 1012841View attachment 1012842View attachment 1012843
Sent using
Jamii Forums mobile app