Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Unataka serikali idhibiti upatikanaji wa jik! Mambo mengine muyaachage tu yapite kama huyaoni vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo ibadilike usoni tuu mkuu,???Ukipata hela na ukawa unaishi vizuri rangi inabadilika yenyewe.
Ukipata hela na ukawa unaishi vizuri rangi inabadilika yenyewe.
ooh ok hapa nazungumzia wanaojichubua boss, yaani ni hatari alafu mtoto wa kiume kabisaaaa , inatia huruma, chanzo ni nini boss?Of course kuna wanaojichubua pia.
Lakini kuna wengine life linakuwa limewaelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasira hana pesa?haishi vizuri?
Sent from my iPhone using JamiiForums
napinga boss mtu ang'ae usoni tuu?Mkuu wengine sio kujichubua,life likikuendea vizuri rangi inang'aa sana tu
ooh ok hapa nazungumzia wanaojichubua boss, yaani ni hatari alafu mtoto wa kiume kabisaaaa , inatia huruma, chanzo ni nini boss?
Sent using Jamii Forums mobile app
ongezea na ngolo kanteWasira hana pesa?haishi vizuri?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wasira hana pesa?haishi vizuri?
Sent from my iPhone using JamiiForums
ooh ok boss , ila kuna kuwa hakuna utofauti kati ya mwanaume na mwanamkeKila mmoja anaishi anavyopenda/anavyoweza. As long as havunji sheria za nchi.
Mwili wote mkuu,chunguza utaona..au angalia friends zako wa primary au sec now wakoje linganisha na zamani
Mtu mwenye roho ya vile hawezi kuwa anaishi vizuri, kuwa na pesa inaweza isikupe guarantee ya kuishi vizuri