Wanaume kujichubua/kutumia vipodozi au Mikorogo


Hata hivyo wanafaa kwa matumizi ya dharura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefatilia mazungumzo yenu kwanza hongera kwa kuwaelewesha japokua wao walitaka muanze kukaa kusengenya watu ooh flan anajichubua sijui anajibleech lakini hukuwapa hiyo nafasi.

Big up kaka mkubwa.

Am flattered.

Kuna thread ya Karucee, it's a story. Nimekuona nikakumbuka we crossed paths kwenye story ya lara 1, you might like it too.

Check her profile.
 
Sawa zimeletwa na wakongo je watanzania nao nilazima wajichubue kwahiyo kila kitu wao wanaiga tu

Mwanaume unatakiwa upake babycare jamani

Mimi huwa siyo mpenzi wa mafuta, lakini lifestyle ya mtu hainichukulii muda.

Kwa sababu hata mwanamke anayetumia mkorogo sioni kama ni sawa na I never get into their ways.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…