Hongera kwa kuwa mdadisi sana, wataalumu waliofanya research kwenye suala hili waligundua ya kuwa mwanaume akitaka kutoa shahawa kunakuwa na high release ya DOPAMINE ambayo inahusika na activating effects, so it's excitatory neurotransmitter ila baada ya kutoa shahawa kunakuwa na release ya SEROTININ which is neuro-relaxants ambayo kazi yake kubwa ni kuleta usingizi na kushusha pressure so utaona hiyo kitu ni biological occurence kabisa.Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.
Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
tunapenda niniSawa...
Ila mbona mnapenda hivyo?
Hicho kinachommeza mwenzake?tunapenda nini
ulishawahi kumezwa ukatemwa??Hicho kinachommeza mwenzake?
Mimi huwa nameza, simezwiulishawahi kumezwa ukatemwa??
🙁🙁🙁🙁ndomana nikakuuliza ulishawahi kumezwa??ungekuwa na experience yakumeswa kama sio kumezwa ungenipa majibu yake..!!usishangae mnapotumezwa wengine tunanena kwa lugha,hadi passcode za ATMna Mpesa unazitajaMimi huwa nameza, simezwi
Ahsante sana mkuu, umenielewesha vizuri sana, sina swali jingine na ikitokea hali kama hiyo tena, sitakuwa na haja ya kulalamika maana nimejua kinachosababisha hiyo hali.Hongera kwa kuwa mdadisi sana, wataalumu waliofanya research kwenye suala hili waligundua ya kuwa mwanaume akitaka kutoa shahawa kunakuwa na high release ya DOPAMINE ambayo inahusika na activating effects, so it's excitatory neurotransmitter ila baada ya kutoa shahawa kunakuwa na release ya SEROTININ which is neuro-relaxants ambayo kazi yake kubwa ni kuleta usingizi na kushusha pressure so utaona hiyo kitu ni biological occurence kabisa.
Hahahaha,we umenfanya niche umu libraly ad nmeonekana ka chz flan..dahmimi hiyo kitu sijui,ila mbona mimi huwa napiga nyeto hata bao mbili ila silali?Au ni tofauti na ukiwa unapiga K yenyewe?K ina maajabu gani?Waliowahi kufanya vyote nijuzeni
Ushawahi kupima?bao moja sawa na kutembea umbali wa km 9
juzi nimeg*nga bao sita kwa hesabu zako nilikimbia 54Kmbao moja sawa na kutembea umbali wa km 9
we unapenda ufanywe mara ngapi mkuu?per dayNi uzembe tu na ndio maana siku hizi hata ndoa za wake wa 4 zinapungua kwa kasi, maana uwezo mnogo mwanaume anataka akifanya Leo hafanyi tena mpaka kesho kutwa au wiki ijayo kabisaa