Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Njoo basi uninenee hizo password za ATM.🙁🙁🙁🙁ndomana nikakuuliza ulishawahi kumezwa??ungekuwa na experience yakumeswa kama sio kumezwa ungenipa majibu yake..!!usishangae mnapotumezwa wengine tunanena kwa lugha,hadi passcode za ATMna Mpesa unazitaja
Kitaulo cha nini kama shughuli imeishamuache alale, kwa sisi watu wazima lazima pawe na kitaulo laini pembeni ya kitanda, noma sana.
Hii inatokea hasa kwa wanaume wasiofanya mazoezi ya pumzi kama push up, mchakamchaka, gym etc.Habari wana jamvi,
Natumai mmeamka salama.
Naomba mwenye kunijuza hili anisaidie, kwa nini wanaume wengi mara tu baada ya kumaliza lile tendo la ndoa( kungonoka) akishamwaga tu unakuta analala fofofo tofauti na wanawake?.
Mwanamke utakuta akimaliza ataenda kujisafisha na kumsafisha mwenzake, ila muda huo akifanya hivyo, mwanaume atakuwa anakoroma kabisa. Je kuna sababu yoyote ya kibailojia?
ahahaahahahahahahaha wakati huo anayekimbizwa anafanyeje?inasemekana average mshindo mmoja ni kama kukimbia km7 so ukihakikisha na yeye amefika maana yake umemkimbiza mtu km 7 nyengine jumla 14
so jiulize mtu ukimbie km 14 ukirud hutalala fofofo kwel?
we soma wewe,utadiscoHahahaha,we umenfanya niche umu libraly ad nmeonekana ka chz flan..dah
unahatari wewe niko kwenye siku zangu..!!!!😀😀😀😀😀😀Njoo basi uninenee hizo password za ATM.
Tafadhali Mkuu mimi sifanywi ila tunafanya, mimi sio gogo hadi nifanywewe unapenda ufanywe mara ngapi mkuu?per day
[emoji13] [emoji13] [emoji13]bao moja sawa na kutembea umbali wa km 9
Na wanaume wa dar kumfikisha kileleni ni ndotoKama akifikia kilele yes, ila sidhani kama yeye ni kilometa nane. Labda moja na nusu!
mnawaonea sana wanaume wa Dar nyie mbona dada zetu wa huku nje ya Dar kila kukicha kiguu na njia kwenda kwao kunani huko alafu dada zao hawaji kwetujuzi nimeg*nga bao sita kwa hesabu zako nilikimbia 54Km
hizo Km 9 ni za wanaume wa dar
hahahaha samahani mkuuTafadhali Mkuu mimi sifanywi ila tunafanya, mimi sio gogo hadi nifanywe
Uzembee? Kwa hiyo unapenda kufikishwa kileleni tuuu!!!!!uzembe tu
ndiyo sasa unakojoa na kulala maana yake ni nini? tehUzembee? Kwa hiyo unapenda kufikishwa kileleni tuuu!!!!!
umemaanisha ma beki 3?mnawaonea sana wanaume wa Dar nyie mbona dada zetu wa huku nje ya Dar kila kukicha kiguu na njia kwenda kwao kunani huko alafu dada zao hawaji kwetu
haahaaaahaa...hata wao wamo au wale dadazangu toka Mwaanza waliokuwa wanashinda pale Davies kona enzi hizo mpaka wengine washaolewa na wanaume wa darumemaanisha ma beki 3?
mzee Mtambuzi alishawahi kule huo uzi hapaHuu uzi ulishawahi kujadiliwa hapa. Kuna Member mmoja simkumbuki alielezea vizuri sana kwa nini hali hiyo inatokea. Nakumbuka alisema Wanaume wanaume wana hormone sijui zinaitwaje nimesahau zinawafanya wao kuwa hivyo na wanawake hali kadhalika. Kama atabahatika kusoma hapa anisaidie