Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao.
Women lost their dignity because in our current generation there are no consequences. Women doesn't respect men anymore because modern men have become weak and soft. They simp, tolerate disrespects and allow bad behavior without consequencies. When men are strong, women become feminine and high value. But when men are weak, women become damaged and low value.
Standard za wanawake kwa mwanaume hazijawahi kubadilika. Mwanamke bila aibu na kwa ujasiri kabisa atasema anataka kuwa na mwanaume mwenye mali na ambae anamuhudumia. Bila kujali mwanamke huyu ni kahaba, single maza, masikini, hajasoma, yupo 30+, n.k she still thinks highly of herself
Lakini kwa upande wa wanaume ni tofauti. Standards zetu kwa wanawake zinazidi kushuka kila siku. Mwanaume wa leo hawezi kusimama mbele ya watu na kwa ujasiri kabisa akasema anataka kuoa mwanamke bikira na akatetea hoja yake. Anaogopa ataonekana ana mawazo ya kizamani, anaogopa watu watamuona sio gentleman.
Wanaume tumetoka kwenye nyakati za kuoa bikira mpaka sasa tupo kwenye nyakati za kuoa single maza, high body count women, wanawake wenye watoto wa baba tofauti, malaya mashuhuri mjini, pornstars n.k
Tumetoka kwenye nyakati za kuoa feminine and young woman wa kumchukua kutoka nyumbani kwa wazazi wake mpaka sasa tupo kwenye nyakati za kuoa magumegume ya geto tunayokutana nayo club
Tena tunawapigia magoti kuwavalisha pete, tunawatolea mahari na kuwatetea kabisa na reckless past zao. Tulichobakiza wanaume ni kuanza kuwatetea wanawake wasio na malinda tu. Upuuzi wote huo eti ili uonekane gentleman. Inasikitisha sana.
Feminism world imewaamimisha wanaume kushusha standards zao na kukubaliana na disrespects na reckless past ya mwanamke ndio ugentleman, sijui real man. Ask any woman who is real man/gemtleman, she will describe a man she can use, manipulate and cheat.
Wanaume wameaminishwa mwanamke kuwa single maza ni kiashiria cha mwanamke uyo kuyajua maisha na ukomavu wa akili, wakati kiuhalisia hicho ni kiashiria cha umalaya na ufanyaji mbovu wa maamuzi wa uyo mwanamke.
Simp wameambiwa past doesn't matter na wao wameingia kwenye mfumo, hawajui kama wanaandaliwa kisaikolojia kuwa retirement plan ya damaged women. A past is not just a past, it's a pattern of habits and true self. Judge a woman hushly and ruthless based on her past.
Najua uaribifu uliofanyika kwenye akili ya mwanaume sio wa siku moja au mbili, ni mchakato ulioanza takribani miongo mitatu iliyopita, kwaiyo itachukua muda kuwaondoa wanaume kwenye hii matrix. Tuseme tu ukweli hatua tulipofikia kengere ya hatari inaanza kugonga akilini. Tunaenda kutokomeza kabisa kizazi cha mwanaume halisi.
We are in the era where women over estimate their value and men under estimate theirs. And this will continue untill men reclaim their manhood and start having standards again. Respect is not given, it's enforced.
We must bring back traditional values, raise them like flags, wear them like badges of honour and entrench them in the minds of the younger ones. Lack of masculine men will lead to destruction of both genders
Don't be a simp.