Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Umenisahau bro naomba niweke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam wakuu.

Huu ni uzi wetu maalumu sisi matajiri. Tupeane mbinu za kuendelea kutajirika

Pia tupeane mbinu za kuwatajirisha na wengine

Wasio matajiri pia mnaalikwa. Uliza mbinu za kutajirika uambiwe.. Uliza chochote kuhusu utajiri ujibiwe

Karibuni.
 
'' Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbingu''

Nawakumbusha tu, msinifikirie vibaya
Acha kutuletea porojo, nani anayajua ya mbeleni?
 
Acha kutuletea porojo, nani anayajua ya mbeleni?
Hakuna ajuae thats why tunaishi kwa imani, hata wewe najua unamipango yako kibao bt hata hujui kama kesho utafika, ukitaka tusiongee kisa hatuijui kesh yetu basi dunia inabidi isimame, coz hatutafanya chochote kisa hatujui ya mbeleni
 
karibu demi..kwangu kila kitu utapata na kusaza. huduma zoooote utakazohitaji hapa zinapatikana. hutopungukiwa. achana na hawa vijana ambao sometimes yes sometimes no.. mi nnavyokupenda HATA MIMBA NTAKUPA. Utakalo ntakupa ili nafsi yako itulie mama... kama juice ndani ya friji...bila povu kabisa. uwe huru kama ndege mtini au twiga katikati ya pori utakula vya juu tu mamaa... ntakupendezesha demi kama ndege tausi anavyovutia na manyoya yake nawe utaimba kwa furaha kama kasuku mtini. ntakupa kila unalotaka hata moyo wangu ntakupatia ili uuweke akiba ikitokea moyo wako ukapata hitilafu au ukataka kufa wakuwekee wangu. ntakuongeza hata miaka yangu ya kuishi.. uishi duniani na ulinzi mkubwa zaidi ya trump au hapa tanzania anavyolindwa magufuli. njoo nikupe chochote utakacho kitakachokupa raha na furaha na wala usipungukiwe. achana na vijana wenye maneno ya ulaghai....
Kwa GuDume nimejipanga kisawasawa. Ha haa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…