DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #441
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkMkuu na mimi naombwa kukumbukwa kwenye utafiti wowote,maana hapa na kupachika majina tu.
Unajua watu wengine hawawajui Na wengine wanawachukulia tofauti
Umenisahau bro naomba niwekeList Ya Wanaume Masikini JF.
1. JUAN MOSES
2. JUAN MOSES
3. JUAN MOSES.
Average Joe. Poor Ass Nigga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji41][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutuletea porojo, nani anayajua ya mbeleni?'' Ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbingu''
Nawakumbusha tu, msinifikirie vibaya
Mambo.Hahahahahahahhah teh teh eti nimewavumilia sana hahahahahaha
Hakuna ajuae thats why tunaishi kwa imani, hata wewe najua unamipango yako kibao bt hata hujui kama kesho utafika, ukitaka tusiongee kisa hatuijui kesh yetu basi dunia inabidi isimame, coz hatutafanya chochote kisa hatujui ya mbeleniAcha kutuletea porojo, nani anayajua ya mbeleni?
Asubh asbh kuamkia kusifia watuMambo.
Ujue wewe mtoto mashalah sana
Kwa GuDume nimejipanga kisawasawa. Ha haa