Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

Wanaume kumi wanaongoza kwa utajiri JF

karibu demi..kwangu kila kitu utapata na kusaza. huduma zoooote utakazohitaji hapa zinapatikana. hutopungukiwa. achana na hawa vijana ambao sometimes yes sometimes no.. mi nnavyokupenda HATA MIMBA NTAKUPA. Utakalo ntakupa ili nafsi yako itulie mama... kama juice ndani ya friji...bila povu kabisa. uwe huru kama ndege mtini au twiga katikati ya pori utakula vya juu tu mamaa... ntakupendezesha demi kama ndege tausi anavyovutia na manyoya yake nawe utaimba kwa furaha kama kasuku mtini. ntakupa kila unalotaka hata moyo wangu ntakupatia ili uuweke akiba ikitokea moyo wako ukapata hitilafu au ukataka kufa wakuwekee wangu. ntakuongeza hata miaka yangu ya kuishi.. uishi duniani na ulinzi mkubwa zaidi ya trump au hapa tanzania anavyolindwa magufuli. njoo nikupe chochote utakacho kitakachokupa raha na furaha na wala usipungukiwe. achana na vijana wenye maneno ya ulaghai....
Sijawahi kuambiwa maneno matamu hivi walai...
.
.
MBITIYAZA upoooo
 
na haya hata hujapata maneno mazuri demi... na bado , na bado. na bado SIJAKUFANYA VITENDO VIZURI.. haya maneno tu mama ambayo bado hayajfikia hata robo ya maneno yangu mazuri kwako. mtoto uliyeumbika ..ntakupa kila kitu ujue jinsi navyokupenda... hata mlima kilimanjaro naweza kukununulia uwe wako.... na bahari ya hindi pia uwe unaitumia wewe peke yako wengine wakodi tu kupitisha meli na boat zao. hizi mbuga zote ntakupatia wewe na majina ntazibadilisha... hotel kubwa za hapa town nitaziita demi1 ,demi 2, demi 3 na kuendelea. utalala na kula yoyote utakayo. ntakuhakikishia hii ndege mpya boeing ambayo mh anataka kuinunua iandikwe jina lako na iwe yako...

ukitaka iwe hata mswaki asubuh unapelekwa kupiga dubai. unaenda kuoga new york na dinner unapaka las vegas. vipodoz na shopping unafanya italy na ufaransa... sema mama maana uzuri wako hauna kifani... sijaona wa kukufananisha naye.... napokuona kwenye avatar yako moyo unasimama kudunda kwa muda wa nusu saa hivi.... akili inagoma kufikiri..sioni kitu kingine zaidi ya sura yako nakuwaza wewe...silali mama nakuota wewe...nikiendesha gari nakuona mbele ya kioo na kwenye dashboard... kwako nimekufa na kuoza..... usilikatae penzi langu mama itakuwa sawa na kuninyima pumzi.....nitakufa kwa mateso makubwa nikiungua moyoni....kama tu mtu anaye weka kipande cha barafu kwenye kaangio la moto. nikupe nini demi?nikupe nini uridhike?au nikupe moyo wangu unitunzie?

Aisee haya maneno nitayaprint niyaweke kwenye frame..sasa hapo nitakuwa housegirl au vipi? Kumbuka nataka kazi na cv nishatuma
 
kuna interview ya face to face hiyo itabidi tuifanye nadhan ukija Double Tree hotel tunaweza fanyia hapo... then nione kama inafaa nikupe kazi...maana sasa naangalia hata ikitokea ukaamua kunibaka... basi niwe tayari kwa lolote nisikufukuze kazi nikusamehe tu...

Raha ni kubakwa na wewe GuDume
 
sijui kama wadau wanaona ninavyovua mtoto mzuri hivi hivi hapa jf bila hata kutumia sent tano.. ngoja wao wakae kubishana na habari za akina nani sijui au kutuma picha za magari yao.... sisi wengine tuna utajiri mwingi... mtoto mzuri kama demi amejitolea nimbaki. na hapa anafanya haraka kukimbizana na foleni awaha kuja kubakwa nami kabla sijabadili maamuzi... sasa nyie kaeni kujitamba kuwa mwanaume mashine, mwanaume sura, mwanaume pesa, mwanaume sijui nini... sisi wanaume tunakula mizigo ninyi mnatoa maneno. mtoto kaingia kwenye 18 za gudume atakuja kuwapa story. na leo hii hii tu naweka signature "gudume kapita hapa" kama kawaida yangu..huwa naacha na alama.. waulizeni wengine wa humu ndani au muwe mnawakagua lakini mtaona tu ..ukiona tu... ujue aaaah "gudume kapita hapa" nimeacha chata langu. ila haya maneno chonde chonde asiyafaham demi. maana anajua mimi ni gentlomani.

Nakuja baba nakuja..
 
aaah demi.. nmekosea mama haya maneno nlikuwa nawatumia jamaa zangu wa group la whatsapp JF kumbe nimetuma huku????????????????? nisamehe.. nlikuwa natania tu. njoo waridi na barafu langu la moyo hasa kipindi hiki magufuli anapozinchoma nyoyo za watanzania wengi..mimi wewe ndo kipozeo changu.

Kha!!!!
 
Teh teh..kumbe unafurahia free P eeh? Mimi nikimtaka mtu wala sina gharama ila ukinitaka jiandae!
 
Back
Top Bottom