Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sijawahi kuambiwa maneno matamu hivi walai...karibu demi..kwangu kila kitu utapata na kusaza. huduma zoooote utakazohitaji hapa zinapatikana. hutopungukiwa. achana na hawa vijana ambao sometimes yes sometimes no.. mi nnavyokupenda HATA MIMBA NTAKUPA. Utakalo ntakupa ili nafsi yako itulie mama... kama juice ndani ya friji...bila povu kabisa. uwe huru kama ndege mtini au twiga katikati ya pori utakula vya juu tu mamaa... ntakupendezesha demi kama ndege tausi anavyovutia na manyoya yake nawe utaimba kwa furaha kama kasuku mtini. ntakupa kila unalotaka hata moyo wangu ntakupatia ili uuweke akiba ikitokea moyo wako ukapata hitilafu au ukataka kufa wakuwekee wangu. ntakuongeza hata miaka yangu ya kuishi.. uishi duniani na ulinzi mkubwa zaidi ya trump au hapa tanzania anavyolindwa magufuli. njoo nikupe chochote utakacho kitakachokupa raha na furaha na wala usipungukiwe. achana na vijana wenye maneno ya ulaghai....
.
.
MBITIYAZA upoooo