Wanaume kuwa na ngozi nyororo kama mwanamke

duh....we ni kamwanaume
 
Njoo mimi nikukaze, nimekomaa mikono nikikupiga dole utafikiri umepigwa na msasa!
 
Wanawake wana nongwa bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuku mge
kuku mgeni hakosi .............................................
 
Mkuu hayo ni masimango...kama wewe umekulia kwenye maisha magumu hata mafuta ya kupaka hamna, usidhani ndio uanaume kuwa na ngozi ngumu kama koboko...uanaume ni kuhudumia na kuwa na pochi nene na kujiamini...mambo ya ngozi ni upeo mdogo wa kufikiri.
 
Kwetu Ni Tukuyu Mwakaleli Huko
Mwendo wa kwenda shamba ni kama km 25 kwa miguu
Nimelima kwa zaidi ya miaka 25,
Shule nilikokuwa nasoma ni mwendo kama km 12 kila siku unakwenda shule,
wakati wa mavuno unabeba mahindi kwa umbali kama wa km 9 yafike mahali ambapo gari zinafika(Kumbuka Hapo unapanda njia za milimali wanaoijua geografia ya huko wanaelewa)
Hapo mnakosomba mahindi mnazo kama heka 8-15 hizo heka ni siku mbili tu mnasomba na kubeba katika gari.

Lakini cha ajabu maisha yangu yote ya kijijini hivyo siyajui magamba miguuni
Wala sina mikono iliyokomaa
Niko hivyo toka utotoni,
Labda tu sema ungenyoosha kuwa una mwanaume ambaye ni mlegevu ila ulaini wa ngozi(Ngozi Nyororo) ni kawaida kwa mwanadamu.
Tofautisha mwanaume mlegevu na ngozi Nyororo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…