Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

Na akienda kazini kwake, kazini kwake kunakuwa na kazi nyingine lazima akusahau 😂😂😂😂
 
Mtihani sana
 
Binafsi kuna wanawake zaidi ya 5 washawahi kunitafuta wakiniulizia namba za ma-ex wao , walishaolewa wengine karibia miaka 12 .

Mtu anakuomba namba ya jamaa eti amsalimie , mara anakuambia bado anampenda ishapita miaka 10
 
Mapenzi huwa hayana ushauri , mara usioe single mother , mara oa mara kataa ndoa ,mara usioe watoto wa 2000 ,mara usioe waliotoka chuo hizi ni soga tu , mkuu ukinasa umenasa mapenzi ya kweli hayanaga ushauri.
Unapooa unatumia akili sio hisia. Na kibaya wanaume wasio wahuni hutumia hisia ila wahuni hutumia akili. Akili haoa ni hii imjue kuwa kweli anakuheshimu au kaja umuokoe na shida za mjini. Most of graduates wameharibu sana hisia hivyo wapo zaidi kimaslahi. Jambo la msingi chukua pointi positive negative Acha.
 
Ni ushauri mzuri mno , ila kwa watakao oa utawafaa zaidi mkuu
 
Pole sana kwa kupoteza kaka yako, hizi pisi zina sumbua sana kama wakianza kupata riziki baada ya msoto mkali
 
Jamani
 
Hadithi inahuzunisha sana kuna ndugu yangu mmoja huishia kusema
"Hayanaga mwongozo haya"
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…