Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

mke wangu alinambia nimsomeshee eti nimpeleke chuo akasome nlicheka mpka nkapaliwa...
Mke wa kaka yangu mkubwa alianza kutukana mamba kabla hajavuka mto. Alimwambia kaka nikipata chuo nasoma halafu nikiajiriwa nakuacha naondoka na mwanangu..jamaa akasema sasa na chuo sikupeleki,na hakumpeleka kweli,hadi leo kawa mama wa nyumbani
 
Kaka yangu mdogo alienda Dar kutafuta maisha,kweli mambo yakaanza kwenda vizuri,akamzalisha mdada,sasa mama zake na huyo KE wakamwita kuwa umemzalisha lakini sisi tunataka kumpeleka chuo,mtoto akikua itabidi uchanggie nusu ya gharama za masomo,jamaa akakubali.
Mwanamke kamaliza diploma yake akaajiriwa serikalini ila akapiga hesabu akaona kazi nimepangiwa mkoani karibu na kwao na jamaa,akafanya mipango akabadilishiwa kituo cha kazi afanyie Dar.Kilichofuatia akamwambia kaka kuwa tusijuane tena na mtoto humpati. Alichanganyikiwa sana na baada ya miaka mitatu mwanamke akajiendeleza kusoma UDSM. Maisha ya kaka yakaanza kuwa magumu ila alivumilia,bahati nzuri alisoma shule ya kilimo hivyo kupata kazi kwenye viwanda vya kusindika vyakula kwake haikuwa ishu.Baadae akaenda kusoma NIT,akahama Dar akarudi mkoani na yeye amepata kazi serikalini....Hawa viumbe sio kabisa
 
Hili ni funzo,sikatai kuwa wengi wa hii aina ya wanawake ukijifanya unamchekea itakutafuna,ni sumu mbaya sana,licha ya kuchukua maamuzi ya kujiua unaweza kujikuta umeingia kwenye umalaya wa kutupwa ukifikiri unamkomesha,mwisho wake ukajikuta umeokota ugonjwa bila kujielewa,ni hatari kwakweli...
 
Hii story nlivosoma mwanzo nlikuwa naiamini, ila nlivosoma hapo kuwa huyo mdada aliemsaliti kaka yako alipata ajali ya gari na kukatwa miguu, nimeanza kuitilia shaka story yako, kama vile ipo kimkakati, (kufanya watu wasipendane) world doesn't really work like that, Yani kwa vile flani kakufanyia ubaya halafu mabaya yamkute, siaminigi, watu wabaya wengi wanastawi tu.

Assuming story yako ni ya ukweli, kilichomuua kaka yako sio huyo mwanamke, kukosa maarifa ndo kulimuua kaka yako, kaka yako angetakiwa ajue kuwa kuhudumia mdada sio guarantee ya kupendwa, na alitakiwa ajue mdada ni binadamu anaeweza badilika mda wowote, hivyo alitakiwa ajiandae kisaikolojia mapema, kaka yako angejua kitakachomkuta baada ya kujaribu kujiua (kwenda motoni) , asingechukua maamuzi hayo. bikira latifah
Kakatika miguu yote dadeki.njoo.dm nikutumie picha zake
 
Daah! Poleni sanaa. Waathirika wakubwa wa swala la mapenzi tumekua wanaume sisi, mbaya zaidi wengi wetu hatuwezi ku withstand usaliti toka kwa wenza wetu.
Cases nyingi za kujiua kwa visa vya mapenzi ni wanaume 49/50.

Mungu okoa kizazi chetu hiki cha usasa.
 
1. Jamaa aliyekuwa anasafirishwa na ndege alikuwa anakiwashaaaaaa sawasawa ila kaka marehemu alikuwa anapiga kistaa.

2. Elimu kubwa kwa mwanamke si chanzo cha shida kwenye ndoa. Jambo la msingi mwanaume hakikisha mwanamke wako hakuzidi kipato. Ikitokea amekuzidi kipato hakikisha hakuzidi akili. Mfanye awe tegemezi kwa kitu ambacho ni cha msingi kwake.

3. Oa mwalimu ndugu. Achana na watu wanaosomea makzoi gani hayo hawana uoga wa maisha.

4. Ishi kwa akili ukiamini muda na wakati wowote unaweza kubadilikiwa. Jiandae kisaikolojia usiishi kama dunia iko fair kwa kila mtu. Dunia haina fair

5. R.I.P Kaka..
 
Kitu ambacho wanaume wengi hamkijui ni Tabia za mwanamke ambae Anajitafuta au ana hali ngumu kimaisha huwa ni kama simba jike mwenye njaa kali so chochote kitakachotokea mbele yake kama kimenona anapita nacho, Maisha ya Binti alietoka Chuoni hana kazi wala Pesa huwa ni kama Wife Material full adabu na utii

Ndio hawa wanawake wa vyuoni au waliomaliza na ajira hawana, simaanishi kuwa hawana haki ya kupata wenza ila uwe makini sana kuwasoma kabla ya kuwaowa, Hao wakishaolewa huwa wanaendelea kuhaso kutafuta ajira sasa usiombee atume maombi alafu ukute upo nae Dar alafu uskie kapangiwa kituo cha kazi Dodoma huko or Mwanza au apate kazi ya maana ukiwa nae hapo ndio utaanza kujua tabia zake halisi

Mwaka 2017 nilimpotezaga kaka yangu, alikipenda kibinti kikiwa mwaka wa pili chuoni akawa anakihudumia,hadi kinamaliza Chuo akakiowa bwana ila kwenye uchumba tu ugomvi ulikuwa hauishi maana kulikuwa na Tetesi yule binti alikuwa na mpenzi wake wa zamani kwa siri ila kilichompeleka pale kwa Bro ni pesa

Kaka akaowa kibishi, Ndoa iko Mwaka wa kwanza tu, Binti akala shavu Kigoma huko shirika linalodeal na wakimbizi pesa nje nje, Ndoa ndio ilipoanza kuwa ndoano hapo maana ilikuwa ni Marufuku kaka kumfuata yule Binti kigoma hadi arudi yeye Dar hao ni wanandoa yani

Za chini chini wambea wakamtonya Kaka kuwa yuke Binti huwa anamsafirisha yule Mwanaume wake wazamani hadi kigoma anafikia kwake mara kwa mara na anamrudisha Dar tena kwa Ndege, Na ndio maana Binti hakutaka kaka Awe anaenda kigoma

Kaka mwaka 2016 mwishoni akanywa sumu ila aliponyea kufa yote ni kama alipata sonona ,akawa hana mtu wa kumwambia, Baada ya lile tukio ndio akaipa Familia ukweli sasa, familia ikaweka kikao yule Binti akaitwa ila akasema yupo Bize Kigoma huko yote jeuri ya pesa na pumzi

Ikabidi sisi kama familia sasa tuongeze ukaribu uliopitiliza, ili ile hali iondoke tukawa tunakaa kwake kwa zamu yote kumpa kampani maana tulishaona Dalili mbaya na ndio tulikuwa tunamtegemea yani wadogo zake ametusomesha na kutupigania sana, Wifi tukawa tukimpigia simu hata kupokea hapokei

Mwaka 2017 mwezi wa Sita akaanza kuugua vitu visivyoeleweka mara Presha mara anadondoka kazini, Alipopelekwa Hospitali kwa uchunguzi ikaonekana Mishipa yake ya moyo imeanza kutanuka tukaambiwa anatakiwa arelax na aache kuwa mtu wa Mawazo , ila kila tukijaribu ikawa mtihani, 2017 mwishoni akafariki alidondoka tu bafuni kumkimbiza Hospitali tayari akawa ameshaondoka hili pigo siwezi kulisahau

Baada ya hili tukio kutokea Baba nae hadi leo hajawahi kuwa sawa kabisa, ila aliwaita watoto wake wote wa kiume kitu nachokumbuka alisema oweni wanawake wenye elimu za kawaida msije kusumbuana huko mbele, na akasema tumewasomesha kwa garama kubwa na sasa mna kazi zenu yeyote atakaeleta tena Mwanamke hapa kama ana Elimu ya juu basi huyo Mwanamke naye ni Sharti awe na pesa na kazi kabla hamjafahamiana yaani kiwaunganishe upendo sio Pesa mlizokuwa nazo

Akasema kuwa ukiniletea hapa Mwanamke Mwenye elimu ya juu na hana kazi wala pesa basi mkatafute baba mwjngine ampokee huyo mwanamke kama mnae la sivyo aishie huko huko, yaani Baba ni kama alivurugwa na ile hali
Nik
Ila wansemaga Dam ya mtu ni kama nzito or inaweza kukulilia ila sijui kama ni kweli but yule Binti mwaka 2022 Tabora huko, alipataga ajali mbaya sana Gari aliyokuwa anaendesha ikagongana na lori miguu yote ikabanwa mean ikasagika akakatwa miguu yote kwa sasa ni mlemavu kabisa hana miguu.
Enzi hizo...ukipata mwanachuo semester ikiishs upon nae shkuru mungu.

Yaani chuo ni mwendo wa kuachwa...labda uwe na mawe
 
Ana endeleaje kiuchumi kwa sasa huyo binti ?!
 
Wanawake hawa walisoma degree za kukariri na kujibia tu mitihan sio poa .ila kuna wengine ni materials kabisa ila asilimia kubwa huwa maisha yanawachanganya na kuharibu mbeleni.! Kuna mwanangu yeye alitangulia kuoa kama mwaka na alioa mfanyakazi yeye ni material lakin jamaa kama anahisi kakosea kuoa kwa sababu anajimudu kwa kila kitu lakin hawez mwambia mke aache kazi kwa kuwa kamkuta

Alinisisitiza sana kuwa nisioe mwanamke mfanyakazi mtasumbuana sana na ndoa itakuwa haina amani kivile maana lengo la ndoa ni utulivu sasa kama hupati utulivu mtasumbuana.

Mana kulikuwa na kibint cha first year udsm. Jamaa kaniambia piga chini huyo tafuta form 4 tu mambo usiyafanye mengi kutaka mje kusaidiana maisha sijui nini utafeli pakubwa brother.

Kuna mchizi na yeye alimfungulia biashara mke wake kwa sababu yupo nyumbani tu matokeo yake kapata bwana huko kwenye biashara. Mwisho wa siku kakosa mke na biashara...

Yote tisa wanawake hawana formula hawaeleweki kabisa unaweza chukua huyo wa mtaani na mkasumbuana kweli kweli na pia akakusaliti.!

Ushauri wangu kwa vijana ni kuwa mke anaandaliwa tanga chini sio umeona binti ana tako na ziwa ,nywele ndefu ukaona huyo ndio mke utapata ukimwi wazazi wako walie peke yao.
 
Back
Top Bottom