Wanaume kuweni makini sana kuoa wanawake waliotoka Vyuoni

Inategemea ulimuoa kwa ajili ya mbususu,au factor zingine
Mie nao mwanamke kwa ajili ya mbususu basi akili tayari ninazo za kuendesha life...sina ambition ya kuwa bilionea so sihitaji extra brain.
Ambition yangu kuu maishani nikufikisha miaka 80 huku nikiwa bado na nguvu za kuwezA sasambua mbususu za vitoto vya 26-35
 
Ndio shida ya kudharau red flags,,,kaka yako toka awali alishaona hapa kuna mushkeli lkn akakaza fuvu kwamba akisha muoa atakuwa amesolve tatizo na hapo ndipo shida ilipoanzia

Always kuwa makini sana na small details
Hapa anapewa lawama mwanamke ila aliezingua ni huyo jamaa. Alishaona toka mwanzo hapa maji marefu akaamua kupima kina kwa miguu yote.
 
Kitu ambacho wanaume wengi hamkijui ni Tabia za mwanamke ambae Anajitafuta au ana hali ngumu kimaisha huwa ni kama simba jike mwenye njaa kali so chochote kitakachotokea mbele yake kama kimenona anapita nacho, Maisha ya Binti alietoka Chuoni hana kazi wala Pesa huwa ni kama Wife Material full adabu na utii

Ndio hawa wanawake wa vyuoni au waliomaliza na ajira hawana, simaanishi kuwa hawana haki ya kupata wenza ila uwe makini sana kuwasoma kabla ya kuwaowa, Hao wakishaolewa huwa wanaendelea kuhaso kutafuta ajira sasa usiombee atume maombi alafu ukute upo nae Dar alafu uskie kapangiwa kituo cha kazi Dodoma huko or Mwanza au apate kazi ya maana ukiwa nae hapo ndio utaanza kujua tabia zake halisi

Mwaka 2017 nilimpotezaga kaka yangu, alikipenda kibinti kikiwa mwaka wa pili chuoni akawa anakihudumia,hadi kinamaliza Chuo akakiowa bwana ila kwenye uchumba tu ugomvi ulikuwa hauishi maana kulikuwa na Tetesi yule binti alikuwa na mpenzi wake wa zamani kwa siri ila kilichompeleka pale kwa Bro ni pesa

Kaka akaowa kibishi, Ndoa iko Mwaka wa kwanza tu, Binti akala shavu Kigoma huko shirika linalodeal na wakimbizi pesa nje nje, Ndoa ndio ilipoanza kuwa ndoano hapo maana ilikuwa ni Marufuku kaka kumfuata yule Binti kigoma hadi arudi yeye Dar hao ni wanandoa yani

Za chini chini wambea wakamtonya Kaka kuwa yuke Binti huwa anamsafirisha yule Mwanaume wake wazamani hadi kigoma anafikia kwake mara kwa mara na anamrudisha Dar tena kwa Ndege, Na ndio maana Binti hakutaka kaka Awe anaenda kigoma

Kaka mwaka 2016 mwishoni akanywa sumu ila aliponyea kufa yote ni kama alipata sonona ,akawa hana mtu wa kumwambia, Baada ya lile tukio ndio akaipa Familia ukweli sasa, familia ikaweka kikao yule Binti akaitwa ila akasema yupo Bize Kigoma huko yote jeuri ya pesa na pumzi

Ikabidi sisi kama familia sasa tuongeze ukaribu uliopitiliza, ili ile hali iondoke tukawa tunakaa kwake kwa zamu yote kumpa kampani maana tulishaona Dalili mbaya na ndio tulikuwa tunamtegemea yani wadogo zake ametusomesha na kutupigania sana, Wifi tukawa tukimpigia simu hata kupokea hapokei

Mwaka 2017 mwezi wa Sita akaanza kuugua vitu visivyoeleweka mara Presha mara anadondoka kazini, Alipopelekwa Hospitali kwa uchunguzi ikaonekana Mishipa yake ya moyo imeanza kutanuka tukaambiwa anatakiwa arelax na aache kuwa mtu wa Mawazo , ila kila tukijaribu ikawa mtihani, 2017 mwishoni akafariki alidondoka tu bafuni kumkimbiza Hospitali tayari akawa ameshaondoka hili pigo siwezi kulisahau

Baada ya hili tukio kutokea Baba nae hadi leo hajawahi kuwa sawa kabisa, ila aliwaita watoto wake wote wa kiume kitu nachokumbuka alisema oweni wanawake wenye elimu za kawaida msije kusumbuana huko mbele, na akasema tumewasomesha kwa garama kubwa na sasa mna kazi zenu yeyote atakaeleta tena Mwanamke hapa kama ana Elimu ya juu basi huyo Mwanamke naye ni Sharti awe na pesa na kazi kabla hamjafahamiana yaani kiwaunganishe upendo sio Pesa mlizokuwa nazo

Akasema kuwa ukiniletea hapa Mwanamke Mwenye elimu ya juu na hana kazi wala pesa basi mkatafute baba mwjngine ampokee huyo mwanamke kama mnae la sivyo aishie huko huko, yaani Baba ni kama alivurugwa na ile hali

Ila wansemaga Dam ya mtu ni kama nzito or inaweza kukulilia ila sijui kama ni kweli but yule Binti mwaka 2022 Tabora huko, alipataga ajali mbaya sana Gari aliyokuwa anaendesha ikagongana na lori miguu yote ikabanwa mean ikasagika akakatwa miguu yote kwa sasa ni mlemavu kabisa hana miguu.
Kaka Yako alijichanganya mwenyewe picha linaanza anamsomesha mchumba that was a grave mistake, pia miez michache kabla hajamuoa binti alishaanza kumuonyesha rangi yake halisi ila marehemu akajifanya kipofu na kiziwi kikubwa alijiharibia mwenyewe apumzike anapostahili.
 
Wewe unakuwa ndiye mke nimtakae...hebu njoo inbox kipenzi tuyajenge.
 
Pana mwanamke mke alikuwa ni anafanya kazi shirika la kimataifa akakubali kuolewa na dereva texi japo kwao hawakuafiki.
Ndani ya ndoa washazaa na watoto mke akamnunulia mme scania mbili zipige transit nje ya nchi mme baada ya kuona mafanikio akawa mtu wa michepuko sana dharau kwa mke wa kichaga ugomvi ndani hauishi mke akamwambia yaani pesa zangu ndizo zinakupa jeuri ya kunisaliti na kunitesa badala ya kuwaza kesho yetu na watoto we ndo kumekucha umefungua zipu unijui.
Mke akatafuta mteja akazipiga bei roli zake akaweka hela mfukoni akahamia na watoto kikazi ulaya anaendeleza maisha yake.
Mme karejea kazi yake ya udereva texi.
So mme akiwa na pesa tabu mke akiwa na pesa tabu muhimu usiowane na ambae ajajitafuta kwanza akipata ndoani huwa limbukeni.
hii umetengeneza kiaina...Ila usikute hata huyo mwanaume hamuonyeshei ila yeye kw kiherehere akaamua kumfuatilia..hata wanaume wrnye pesa au vyeo wanamichepuko lakini wanaheshimu wake zao tofauti na wanawake
 
Back
Top Bottom