Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Hili ndilo jibu. Ni Tamaa na hamu tu. Hata ukioa mwenye shepu bado unaweza kuwa na tamaa na wa kawaida.Kuna mwanamke wa maisha yako na wa tamaa zako
Wa tamaa ndio namba 1 namba mbili wa maishaKuna mwanamke wa maisha yako na wa tamaa zako
Hapana. Wa maisha ni namba 1 na wa tamaa ni namba 2. Iko hivi, wanaume tumeumbiwa tamaa lakini sio kila tunachotamani lazima tulipate au kukitumia. Ukiona nimekuchukua nikakuweka ndani Kama mke jua tu kuwa kwanza nilikutamani then nikaona unafaa kuwa wa maisha yangu.Wa tamaa ndio namba 1 namba mbili wa maisha
Mkuu acha ubaguzi wa mwonekanoHata mimi niliapa mwnamke ntakaemuowa ntaowa mwanamke wa kawaida sanaaaa. Yani ambae sio mzuri kabisa.
Kuna mwanamke wa....Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.
Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?
Je, tatizo nini?
Tuambizane.
Infidelity rule number 1.Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.
Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?
Je, tatizo nini?
Tuambizane.
Siyo kweli. Wake zetu Warembo sana ndiyo maana tumewaoa.Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.
Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?
Je, tatizo nini?
Tuambizane.
Mkuu nilikuwa na limwanamke lenye makalio makubwa kama kitimoto, aisee alikuwa anaona kama masaburi yake ndo kila kitu. Nyodo dharau vilimjaa eti madai yake yeye ni mzuri hataki kupangiwa maisha. [emoji38][emoji38][emoji38] Nilimpiga chini baada ya miezi mitano nakutana nae kachoka mbaya [emoji1787][emoji1787]Mkuu acha ubaguzi wa mwonekano
Uwiii hahahahahhahaa uwiii hahahahah
Kumbe hujui sisi wanaume akili zetu zilivyo???
Umewahi jiuliza kwann wanawake wazuri wa sura na mashep hawaolewi, wengi wanazalishwa tu ?????.
Kwa Taarifa yako, kwenye Kuoa, Mwanaume anayejitambua Hutafuta Mwanamke yule kweli aliyekomaa kubeba maisha yake yenye Udhaifu na Uimara, mapungufu, uvumilivu, upendo wa dhati n.k kwa 90%.
Hawa wazuri, wapuuuzi sana, kwanza sio watiifu , pili Akili zao wanahamishia kwenye mitako na sura na lishep. Kwahiyo niwepesi kukubaisha sababu anatongozwa sanaaaa
Tatu, mwanamke anayetongozwa sanaaaaaaa kiuhalisia, atakwepa mishale 999 ila ule mmoja wa 1000 unamnasa.
Naweza kuelezeaa mengi mpaka yakatosha kitabu.
Ila la msingi...MWANAMKE MAKINI NDIO ATAOLEWA BILA KUJALISHA, SURA, UMBO N.K
namwanamke asiye makini, Atakua mchepuko tu ..hamna namna[emoji120]