Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.

Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?

Je, tatizo nini?

Tuambizane.
Ah yaani hilo linakuumiza kichwa ...mbona jibu jepesi.

Wakati tunaoa wake zetu tunakuwa hatuna hela ya kuweza kumiliki pisi kali.
Sasa maisha tunapambana unajikuta umepata mihela sasa hapo pisi kali yoyote wee unaweza jikamatia tuu. Sii unajua tena, with money every lady finds u attractive.
 
Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.

Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?

Je, tatizo nini?

Tuambizane.
Kabla ya kwenda mbali tujuze we ni pisi kali au flat a.k.a Pasi kali
 
Wadada kujeni mpitie uzi huu. Kuna salamu zenu.

Manake kuna wadada wanapenda sana waume za watu... Sijui why. Yaani wakiona pete tu ya ndoa wanaona ahaaa sponsor si ndo huyu.

Halafu wanajimwambafy kabisa na kuhakikisha wake wa ndoa wanagundua kwamba na wao wapo katika maisha ya huyo mwanamme.

Huku wakitaka hao wanaume wawaache wake zao waolewe wao kisa ni wazuri sana.

Kujeni sasa muone mnavyotumika na ndoa zao hawavunji ng'o.
 
Mwanamke ambaye kila akipita sehemu lazima asalimiwe na wanaume ama wageuze macho sio mzuri. Yaani akipiga hatua tano gari imesimama dada unaenda wapi panda nikupeleke.

Subiria Paula was kajala Kama ataolewa atatumika Sana Tena Ila ndoa itasikiliZwa mtaa wapili. Yaani ataenda harusi za wenzake Ila ya kwake jamani.

Mana tayari ameshakuwa mng'ao.

Kuna jamaa nyamongo akipiga hela akaenda dar akamtafuta mheshimiwa mmoja saivi ni mkuu wa wilaya Fulani akampatia 2M akamkojolea akarudi Nyamongo.

Yaani mwanamke mzuri ni shida Sana kila jicho linamtizama.

Labda akupe kampani club na beach muuze sura naye na uzungu Sana afu unaachana naye.

Binafsi nilitafuta mke wakati Sina Mia mfukoni, kuna mmoja tukiwa urafiki tu chiini nikamwambia nimedisco akakata mawasiliwano namie.

Mke wako ni Mama wa uzeeni kwako so lazima uwe makini. Uoe urembo wa ndani na sio muonekano wa nje.

Yaani jamani ukipata mwanamke anayeeendana na wewe Mambo yatakuwa POA.

Yupo mmoja nilikuwa namtukana Ila matusi ya kishkaji kuwa yaani nyie mkishasoma mnajiona kuwa na k zenu zimesoma.

Ni rafiki yangu mpaka saivi Ila baadaye tupo kitaa eti ndipo ananiambia kuwa kumbe ulikuwa na akili za maisha.
 
Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.

Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?

Je, tatizo nini?

Tuambizane.
Pia kuoa lazima umjue mtu nje ndani ukoo wake wote Mana unaleta ama unapanda damu ndani ya ukoo wako.

Pia ukimuona mwanaume anakuwa mtamu Sana kwako anakutoa toa Sana anakupeleka maeneo ya Bata yaani anakujali Sana anakuonyesha raha ujue hapo unatumika.

Mie binti ambaye nilijua kuwa huyu tukinyanduana akikubali nitakuja kumuoa nakuambia nilikuwa namuonyesha Ile side yangu mbaya ,hela Sina muda ninaa shida,yaani asikuambie kitu aliyevuka mitihani yangu mpaka saivi namlea kama mwanangu nimelala naye ndani amenizalia two daughters copy right.

Ila kaama unavutia nakutafuna Kama starehe afu nasepa
 
Inshort wanawake ambao sio warembo wengi wao hudhani ni tatizo kwao au hujisikia vibaya bila kujua ndo baraka kwao ( blessing in disguise) na inawaepusha na mengi, ukija upande wa pili wale warembo sasa, wao hujivunia urembo bila kujua ni mtego kwao ( trap in disguise). Uzuri wao huja na nongwa nyingi zinazoweza haribu tabia za mwanamke mwema.

Ni sawa na dereva mmoja apewe gari lenye speed 500km/h na mwingine lenye speed 60km/h ila wote hawatakiwi kuzidi speed 60km/ h.. huyu mwenye la speed kubwa atakuwa na changamoto zaidi ya kufuata sheria ingawa anaweza kuishinda akidhamiria, kuliko huyu mwenye speed 60 maximum.

Sasa wanaume kama trafic hapo, utafikiri wengi tutapenda madereva wepi zaidi ?
 
Binafsi napenda wanawake warembo waliojaaliwa neema za Allah...

Ila mm hivi na akili zangu timamu siwez kuoa mwanamke mrembo ninajua nina wivu sana nisije nikapata kesi ya mauaji..

Wenye kuoa warembo nyie uone tutawasaidia kazi ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom