Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

Uzwi tayari unefungwa na hii comment sasa sijui mnaendelea kureply nini wanaume wenzangu
 
Hao warembo ni wa kila mtu, Unaweza kufa mapema siku si zako.
 
Ndugu carlos mchngowako ni mkubwa sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sisi wanaume,
Ni ngumu Sana kumuacha kirahisi mwanamke Wako wa maisha, aliekuvumilia kwny shida na Raha from zero-hero

eti kwa ajili mwanamke pisi Kali wa kupita.

HAPO NDO MAANA HALISI YA neno "MWANAUME ni KICHWA CHA FAMILIA"




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mzuri huanza na tabia. Kuwa mzuri wa mwili ila tabia sio nzuri huwa ni adhabu ambayo viungo vya siri ndio huteseka.

Ila kwa asilimia kubwa, ni nadra sana ukutane na mwanamke mzuri na mrembo halafu akawa na akili. Wengi wanakuwa ni wajinga kiakili, hawajielewi, lakini mbaya zaidi hawajui kuwa uzuri ni kitu cha muda fainali ni uzeeni.
 
Nilisikia alichoropoa mimba na ndomaana akakondeana kama kiroboto. Ila kwasasa yupo vizuri kawa mrembo zaidi, kaolewa na tumebakia kuwa marafiki tu.
 
Kama kuna Mdada anahangaika kuolewa akipitia huu Uzi akashindwa kurekebisha mwenendo wake basi Ni kweli Sikio la Kufa halisikii Dawa ...............
 
Ukitaka kuoa mwanamke siyo lazima Sura

Unaanza vipi interaction na wengine ukikuta yeye kila muda Yuko kwenye mitandao ya kijamii mipicha mipasho siyo mke pig kando huyo anakuwa mpango wa kando.

Mwanamke aliye bize na maisha mara chache mitandaoni .

Hakika Una Raha hata ukioa

Hatuangalii Sura Bali contents zilizomo humo Kwa mke mwema
 
Well said!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…