Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
WANAUME KWELI WAMEWAZIDI MBALI MNO WANAWAKE KWENYE KUCHANGAMANA
1. WANAUME ni rahisi kupiga stori kama watu wanaofahamiana muda mrefu utajua kuwa hawafahamiani kwenye kuitana majina utasikia Tall, White, Uncle, Big, Mkuu, Kiongozi, Shekh, Mangi, Ngosha, Mwaisa, Tata, mtumishi, kaka
2. WANAUME wachache sana wanaosusa chakula msibani kwasababu ya status zao (vyeo, muonekano, mafanikio yao) wanaume wengi wakiwa kwenye maswala ya kijamii hupenda kushiriki vile wanavyofanya wengine bila kujali cheo chake au status yake ilivyo kubwa. Anachimba kaburi, atakaa chini, atachafuka, atasogeza viti, atafanya vile wanaume wenzake wanafanya ila wanawake wengi huwa watu wa kujisikia sana hata kwenye mambo ya kijamii anaweza kususa chakula na ataongea na yule aliyemzoea tu tofauti na wanaume wao huongea na kila mtu
3. WANAUME hupiga stori na yeyote atakayekuja mahala bila kujali muonekano wake au utofauti wao wa kiuchumi. Tofauti na mwanamke huangalia mtu wa hadhi yake ndiye anaweza kuongea naye, wepesi wa kujitenga
4. WANAUME wanaweza kununulia vinywaji au chakula, kahawa au pombe hata hawafahamiani sana kitu ambacho wanawake ni vigumu sana kumnunulia chakula au kinywaji mwanamke asiiyemfahamu vyema. Eti mpe na yule na yule kisa wakutana mahala.
5. WANAUME ni rahisi kupeana lift (kubebana) walikuwa msibani au kwenye sherehe utasikia wewe unaelekea wapi. Basi nikakuache pale mbele au anaweza kumpeleka mpaka mahala anapotakiwa kufika ila kwa wanawake kitu ambacho ni kigumu sana kutokea eti mkutane msibani au kwenye sherehe mpeane lift ya gari
6. WANAUME ni rahisi kudhaminiana kwenye kesi ila wanawake rafiki yake akikamatwa tu anaweza hata kumkana kabisa wala asiende hata kumjulia hali au kumdhamini polisi au mahakani yaani unafiki wa wanawake mkubwa
Haya ni baadhi katika mengi ambayo wanaume wanayo ila wanawake wengi hawana na nidra sana kuyaona kwenye maisha yako yakifanyika.