Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Sio wote kuna melankori, flagmetiki, koreliki na sengwine ulielewe hilo hatufanani kabisaWell.said aiseh!!
Ndivyo tulivyo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wote kuna melankori, flagmetiki, koreliki na sengwine ulielewe hilo hatufanani kabisaWell.said aiseh!!
Ndivyo tulivyo!!
Sio wote kuna melankori, flagmetiki, koreliki na sengwine ulielewe hilo hatufanaWell.said aiseh!!
Ndivyo tulivyo!!
Mkuu kama mimi siku hiyo angeniibia 3000 na sando zile za teni bukta na boxer na tshirt cha thamani sana ni simu nayo ni 300k tu .Kwa ulimwengu wa sasa kusafiri na pesa zaidi ya 50k ni ulimbukeni,ushamba na uzwazwa wa hali ya juu. hivi karibu kahama to moro mfukoni nilikuwa na 17k hadi nafika gairo ninayo hiyohiyo huduma zote nilikuwa nafanya kwa simbank ama lipa kwa mpesa.Yaan unajitutumua nakunywa Fanta kuna mwenzio alilishwa Biscuts zinaitwa 'Cookie' kumbe ni zile zinazotengenezwa na Bangi ya kusaga na kupika alilala fofofo akakombwa mpaka raba zake watu wakapita nazo laptop simu anakuja kuamka watu walishashuka zamani sana anacheck miguu hana viatuM
Hata hao pia siwaamini hua nabeba kutoka duka ninaloliamini, nilinunua mayai ya kuchemsha na sambusa za nyama Mwanza Stend ya Nyegezi kilichofuata sitaki kuharibu biashara za watu, wewe nimekwambia elewa hivyo usipende kupewapewa vitu na wanaume kwenye usafiri mwambie asante toa hela nunua kwa pesa yako usipende kitonga litakukuta jamboKitu tulichokuwa tunapeana ni zile wanazouza wengine si vile kabeba yeye la hasha wewe katika safari zako hujawahi kutana na madogo wanauza juice,soda,biscuits na maji? kama una wa hofia hadi hao mkuu nunua gari yako tu ndo utakuwa salama salimini kwa 100%
Hata akiwa na gari yake tukimuamulia tunapita naye tu, asilete ngebe hapa.Mkuu kama mimi siku hiyo angeniibia 3000 na sando zile za teni bukta na boxer na tshirt cha thamani sana ni simu nayo ni 300k tu .Kwa ulimwengu wa sasa kusafiri na pesa zaidi ya 50k ni ulimbukeni,ushamba na uzwazwa wa hali ya juu. hivi karibu kahama to moro mfukoni nilikuwa na 17k hadi nafika gairo ninayo hiyohiyo huduma zote nilikuwa nafanya kwa simbank ama lipa kwa mpesa.
Nakuja kwenye hoja yako. Ukipanda na ukakaa siti moja na jizi litakuibia tu kweli unaweza usile kabisa lakini safari ya maa10 lazima utalala tu anakuvutisha unalewa unalala mazima.
Kitu tulichokuwa tunapeana ni zile wanazouza wengine si vile kabeba yeye la hasha wewe katika safari zako hujawahi kutana na madogo wanauza juice,soda,biscuits na maji? kama una wa hofia hadi hao mkuu nunua gari yako tu ndo utakuwa salama salimini kwa 100%
Hakuna kitonga hapo ni utamaduni wetu tu hata kuitumia unaweza usitumielakini kuonyesha tu upo pamoja na mwenzio ndo tunafanya hivyo.Hata hao pia siwaamini hua nabeba kutoka duka ninaloliamini, nilinunua mayai ya kuchemsha na sambusa za nyama Mwanza Stend ya Nyegezi kilichofuata sitaki kuharibu biashara za watu, wewe nimekwambia elewa hivyo usipende kupewapewa vitu na wanaume kwenye usafiri mwambie asante toa hela nunua kwa pesa yako usipende kitonga litakukuta jambo
mkuu mambo mengine usiwe unaandika maana ni aibu, unanunua mayai ya kuchemsha na sambusa za nyama stend? Yaani yale mayai wanayobeba vijana wachafu kwenye trey, na zile sambusa wanaweka kwenye kikabati fulani hv zimejaa nzi? Like seriously? Halafu unakula mayai ya kuchemsha safarini? a yu ok up there?Hata hao pia siwaamini hua nabeba kutoka duka ninaloliamini, nilinunua mayai ya kuchemsha na sambusa za nyama Mwanza Stend ya Nyegezi kilichofuata sitaki kuharibu biashara za watu, wewe nimekwambia elewa hivyo usipende kupewapewa vitu na wanaume kwenye usafiri mwambie asante toa hela nunua kwa pesa yako usipende kitonga litakukuta jambo
Umeongea ki utuuzima sana.Kibongo bongo ni ngumu mno mwanamke kuchangamana ,hasa ukizingatia wanaume wenye matatizo ya akili wamezagaa tu mtaani bila usaidizi wa daktari 🤔
Kwani sambusa na mayai sio chakula halafu vitu vingine tunakula kwa hamu tu hata kuku anatua inzi na wewe unanunua mishkaki ya mbuzi choma hotelini unajua ni inzi kiasi gani wamezimega hizo chips funga na hicho kipaja cha kuku?mkuu mambo mengine usiwe unaandika maana ni aibu, unanunua mayai ya kuchemsha na sambusa za nyama stend? Yaani yale mayai wanayobeba vijana wachafu kwenye trey, na zile sambusa wanaweka kwenye kikabati fulani hv zimejaa nzi? Like seriously? Halafu unakula mayai ya kuchemsha safarini? a yu ok up there?
Sambusa yai ni vyakula vya hamu huwezi maliza nyingi unakula 1 ya hamu na Novida yako unakata utepe msiishi kwa kukariri kila mtu kabeba tumbo lake mwingine yupo kwenye gari na kisichana kakiweka mfukoni anakunywa mpaka mwisho wa safariHakuna kitonga hapo ni utamaduni wetu tu hata kuitumia unaweza usitumielakini kuonyesha tu upo pamoja na mwenzio ndo tunafanya hivyo.
Upo safarini ule yai chips ama chakula chochote tena umenunua stend? kabisa ununue yai stend?mimi nikiwa safari ni industry food tu tena kwa uchache mno na maji yaji yangu. Nikwambie tu mtu kamaumekaa nae na kalenga kukuibia basi hutachomoka la sivyo uwe umemhisi mjomba tofauti na hapo utalia tu.
Mbona mnatoka nje ya mada mkuuSambusa yai ni vyakula vya hamu huwezi maliza nyingi unakula 1 ya hamu na Novida yako unakata utepe msiishi kwa kukariri kila mtu kabeba tumbo lake mwingine yupo kwenye gari na kisichana kakiweka mfukoni anakunywa mpaka mwisho wa safari
Kwasababu gani lakini RESILIENT KATO mko hivi?Well.said aiseh!!
Ndivyo tulivyo!!
Uko wapiii nasaga juice ya mango na pineapple nikuleteeKibongo bongo ni ngumu mno mwanamke kuchangamana ,hasa ukizingatia wanaume wenye matatizo ya akili wamezagaa tu mtaani bila usaidizi wa daktari 🤔
Mkuu wapelekee wavimba macho pale DCEAUko wapiii nasaga juice ya mango na pineapple nikuletee
Kwani hao sijawaona? 😁Mkuu wapelekee wavimba macho pale DCEA
Tunaamini riziki zetu zipo mikononi mwa Mungu kupitia Wana wa kitaa!!Kwasababu gani lakini RESILIENT KATO mko hivi?