lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Wakuu,
Ukienda Zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndio wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama nyanya,vitunguu.nk. Ukienda Zenji sokoni utawaona wanaume kibao wana vikapu vikapu.
Mkuu unaonaje huu utaratibu huu je mpaka huku bara?