lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
- Thread starter
- #21
Kwa kweli mpo vizuri sana kwa hilo, nawapenda bure
thanks madam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli mpo vizuri sana kwa hilo, nawapenda bure
kwa hiyo bora waende sokoni tu
Sio kwa wazenji kwenda sokoni ndio wanajali, ila ukweli maisha yao kwa ujumla wanamjali mwanamke, wajua mwanamke ni chombo cha kumstarehesha, ivo uhakikisha muda wote mwanamke anakuwa katika hali nzuri.

Wazenji lazima wanaume wafanye kazi kama hizo kwa sababu huyo mwanamke WA kufanya kazi ngumu anatoka wapi? Wakati usiku mzima halali mwanaume Yuko juu wanazalishwa wstoto kama ngazi mama mkwe anasimamia pambano kila mwaka anataka mjukuu mpya, halafu nyie wanawake WA zenji mnaoishi pembezoni mwa bahari, muwe mnawaambia mabwana zenu wawe wanachimba vyoo muache kuacha kutu ufukweni mtu Ni afya.
Ni kweli wanaume ndiO huenda sokoni....
Huu ni mfumo dume wa kuaminika huko visiwani na wivu uliopindukia wa watu wa huko
Tatizo lenu nyinyi watanganyika mmeshazoea kuwatumikisha wanawake kama punda, lazima mushangae, mwanamke c mtu wakuhangaika, ni wakutunzwa
Na wewe mzenji nini mbona umefurahi ivo???????
Mimi mbara, lakini mambo yangu ni above mzenje.
Loh!!! kazi kweli kweli
fafanua mkuu