Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mbona Tarime na kiabakari napo kuna hayo mambo sana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshapigwa chupi usoni sio bure!! Wewe unaenda sokoni watu wanamega huku nyuma!! Mwanamke hatekwi kwa kudekezwa kiboya acha uzuzu! Utakuwa under 25 wewe!
Mkuu c kwenda sokoni tu, shuhuli zote za usumbufu na kutumia nguvu, haturuhusu afanye mwanamke, mfano kubeba maji kutoka kisimani au bombani, kumlimisha kwa wale wanaoishi vijijini na kazi zote za usumbufu
Mhh hakuna kitu kama hicho mkuu mbona wanawake wengi sana sokon wanaume wapo pia ila asililmia kubwa ndo wanunuzi japo kua wanaume wapo pia au mwenzetu utuambie znz sehem gani maana darajan nfo usiseme wanawake walivojaa
Mkuu nakitetea chama changu mara zote , lakini katika hili chama kimenilazimisha kuchukua upande wa dini yangu.
Sio wivu bali ni kumuepusha na vishawishi,, uislam umempa mwanamke darja ya juu sana kulinganisha na mwanamume,, hivyo hao wanamume mnaowaona masokoni wakinunua mahitaji ya nyumbani ni miongoni mwa majukumu ambayo mwanamume yambidi ayatekeleze kwa familia yake. Tukiachilia mbali hilo mwanamume anawajibu pia wakumsadia mkewe shughuli mbalimbali za nyumbani ikiwemo kupika, kufua n.k.
daraja gani la juu wakati nchi za kiislam hata kusoma hawapelekwi? kuendesha gari ni kosa la kufanya mtu auwawe?
katika uislam, mwanamke anathamani ndogo sana nadhani kuku ana thamani kubwa sana
Ushauri wa bure "Soma quran tukufu".
Sio wivu bali ni kumuepusha na vishawishi,, uislam umempa mwanamke darja ya juu sana kulinganisha na mwanamume,, hivyo hao wanamume mnaowaona masokoni wakinunua mahitaji ya nyumbani ni miongoni mwa majukumu ambayo mwanamume yambidi ayatekeleze kwa familia yake. Tukiachilia mbali hilo mwanamume anawajibu pia wakumsadia mkewe shughuli mbalimbali za nyumbani ikiwemo kupika, kufua n.k.
Sio kwa wazenji kwenda sokoni ndio wanajali, ila ukweli maisha yao kwa ujumla wanamjali mwanamke, wajua mwanamke ni chombo cha kumstarehesha, ivo uhakikisha muda wote mwanamke anakuwa katika hali nzuri.
we huwajui hawa watu!! ngoja nikupe tu kwa kifupi
-hivi unajua wanawake hawana haki ktk urithi wa mali
-hawaendi shule
-hawali mpaka wanaume washibe - kama unaendaga kwenye shughuli zao utaliona hili wazi wazi
-hawaswali pamoja na wanaume
-wanawaza kuolewa tu, utasikia mi hiki chungu cha tatu, sijui cha nne!! hii yote kwa sababu wako suppressed, hawawezi kusimama wao kama wao
kifupi hawana uhuru!!
Wazenji lazima wanaume wafanye kazi kama hizo kwa sababu huyo mwanamke WA kufanya kazi ngumu anatoka wapi? Wakati usiku mzima halali mwanaume Yuko juu wanazalishwa wstoto kama ngazi mama mkwe anasimamia pambano kila mwaka anataka mjukuu mpya, halafu nyie wanawake WA zenji mnaoishi pembezoni mwa bahari, muwe mnawaambia mabwana zenu wawe wanachimba vyoo muache kuacha kutu ufukweni mtu Ni afya.
Hao niwazembe hawaji shugulish.haiwezekani mwanaume uwe bizy update mda Wa kwenda sokoni
Mi zanzibari naifananisha na kijiji tu ukiniambia ni nchi unanichanganya
daraja gani la juu wakati nchi za kiislam hata kusoma hawapelekwi? kuendesha gari ni kosa la kufanya mtu auwawe?
katika uislam, mwanamke anathamani ndogo sana nadhani kuku ana thamani kubwa sana
Mwanamke kapewa darja la juu kuliko mwanamume. Kwanza kabisa ktk quran kuna sura ya wanawake (surat an nisa yenye aya 177) hakuna surat al rijal hilo ni darja kubwa kabisa kwa mwanamke kwa anayejua uzito wa kitabu hiki kitakatifu,, Kaisome sura hiyo hususan ktk aya 128,, 125,,35,, 20,, 6 na 5,,. Kwa kuongezea mwanamke kapewa darja ya juu kabisa ktk uislam kwani familia itakayojaliwa kuanza kupata mtoto wa kwanza akawa ni wakike basi ni baraka kubwa sana kwao ukilinganisha na kuanza na mtoto wa kiume. Kama hiyo haitoshi,, mwenyezi mungu ameahidi pepo kwa mwanamume aliyejaaliwa kupata mtoto wakike kisha akamkuza ktk maadili mema mpaka anamkabidhi kwa mumewe,. Kwa mantiki hiyo basi hizo ni miongoni mwa sababu zinazodhhirisha kuwa mwanamke amepewa darja la juu ukilinganisha na mwanamume ktk uislam. Na Mwenyez mungu ndo mjuzi zaid.aya ipi? sema aya specific
Ha ha haha,yaani unamaanisha Zanziberi yoote unaimaliza kuitembelea kwa baiskeli?Mi zanzibari naifananisha na kijiji tu ukiniambia ni nchi unanichanganya