Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Mbona washangaa yakhee?
Hata mimi sijui kwa nini nimeshangaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona washangaa yakhee?
Hata mimi sijui kwa nini nimeshangaa.
wakuu ukienda zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndo wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama nyanya,vitunguu.nk. ukienda zenji sokoni utawaona wanaume kibao wana vikapu vikapu.mkuu unaonaje huu utaratibu uje mpaka uku bara?
Lingine ni wanawake kutokuruhusiwa kukaa siti ya mbele ya abiria
wakuu ukienda zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndo wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama nyanya,vitunguu.nk. ukienda zenji sokoni utawaona wanaume kibao wana vikapu vikapu.mkuu unaonaje huu utaratibu uje mpaka uku bara?
halafu hawa wanaume wanapenda sana kutembea peku peku sijui kwa nini?
Na wakuje tu, wao wanafikiri ubabe, kiburi ndio siraha ya mapenzi, muke anatakiwa adekezwe atii, ajaliwe ndio utaona raha ya mapenzi, ila limpenzi linakupeleka mkiki mkiki kama tupo jeshini hadi ukiliona unakasirika si shida hiyo.
Umesema kweli kabisa,na vipi ule unyumba wa chooni kule.ebu tupe ukweli
unasema kweli?
Wanaume wakizanziberi wanajua kudekeza wanawake, wanajua umuhimu wa mwanamke hadi raha, hivi mwanaume anayejali kiasi hicho mwanamke hata akili ya kuchepuka anatoa wapi,
sio wa bara wajeuriiiiiiii wababeeeee wanaboreeeeeee hela zenyewe za mawazo, unakuta mwanamke unamenyeka masaa 18 bado hayo masaa 6 mtu anataka unyumba lol,
Hahahahahahah!! wababe piteni tu msiniquote tafadhali Uuuuuuuuuuuu!!hihihhihihihihihi!!
Hayo ndo maisha halisi....yaan mwanaume aumie sana kutumikia penzi lake kwa mkewew....na mke au available kumhakikishia tress free love....ni ukweli usiopingika kama mume na mke wote mna stress za kazi....mapenzi mtayaskia tu kwa jirani....hii haina maana hamwezi kuishi..kwa ndoa safi....ila ni kuwa...vionjo vingi sana ....vyenye ladha hasa ya mahaba mtavikosa....wazanzibar nawapa heko sana.....jipeni raha....
Lingine wanawake kutoenda kuswali msikitini,huswalia majumbani.
Wakuu ukienda Zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndo wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama nyanya,vitunguu.nk.
Ukienda Zenji sokoni utawaona wanaume kibao wana vikapu vikapu.
Mkuu unaonaje huu utaratibu uje mpaka huku bara?
kwanini wende sokoni wakanuka vumba, wakati wanatakiwa wabaki nyumbani wanukie udi na uturi?
hujui sokoni kuna kila aina ya fitna?