Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

wazenji wanawaza sana ngono na kuzaliana mwanamke usiku halali anapigwa mambo so mchana ni muda wake wa kupumzika

Ndo mwanamme, si wake zetu? Tafuta basha na wewe ukeshe nae 😝
 
Khaaa sasa mke ni kukaa na kupewa dozi tu,si utachoka na huo mkwaju...labda mseme.mnaenda wote sokoni na mnapika wote etc
 
Khaaa sasa mke ni kukaa na kupewa dozi tu,si utachoka na huo mkwaju...labda mseme.mnaenda wote sokoni na mnapika wote etc

Haahaa, kwani huo mkwaju unapigwa kila siku? ukiuchoka mshauri mumeo aongeze mke 😉😜
 
Hao niwazembe hawaji shugulish.haiwezekani mwanaume uwe bizy update mda Wa kwenda sokoni

Mzembe utakua ni wewe ulieshindwa kupangilia muda wako ukajua mahitaji ya nyumba yako...usipoihudumikia wewe umwachie nani jukumu?! Ndo nyinyi mnakosa muda hadi mnaomba majirani. ....malizia ww
 
mito hapo kwa red ni kiboko.
mimi saa hii nipo kwa boti naelekea huko sasa unanikatisha tamaa tena, wacha nishuke njiani nisubiri boti inayorudi.

ahaaaaa usishuke bana! nenda kapate urojo kwanza ndo urudi kusoma komenti yangu vizuri

nimeona nikujulishe yaliyoko nyuma ya pazia manake umewasifia sana kwa hiyo pweint moja ya kubeba vikapu vya sokoni

Mi nimeishi zenji 2 yrs so nawajua sana
 
ahaaaaa usishuke bana! nenda kapate urojo kwanza ndo urudi kusoma komenti yangu vizuri

nimeona nikujulishe yaliyoko nyuma ya pazia manake umewasifia sana kwa hiyo pweint moja ya kubeba vikapu vya sokoni

Mi nimeishi zenji 2 yrs so nawajua sana

Hutujui sana..
 
Wanaume wakizanziberi wanajua kudekeza wanawake, wanajua umuhimu wa mwanamke hadi raha, hivi mwanaume anayejali kiasi hicho mwanamke hata akili ya kuchepuka anatoa wapi,

sio wa bara wajeuriiiiiiii wababeeeee wanaboreeeeeee hela zenyewe za mawazo, unakuta mwanamke unamenyeka masaa 18 bado hayo masaa 6 mtu anataka unyumba lol,

Hahahahahahah!! wababe piteni tu msiniquote tafadhali Uuuuuuuuuuuu!! hihihhihihihihihi!!

Wazanzibari wengi wana wivu sana. Kwakuwa wao wanatongoza wake za watu wanapoenda kununua vitu kwenye magenge yao, wanafikiri na wao wanatongozewa. Wanawake wa zanzibari kazi yao kubwa ni
1. kujiremba kwaajiri ya mwanaume,
2. Kumpikia mume
3. kuangalia watoto na kuwaandaa kwaajiri ya shule, madrasat n.k
4. kufua na usafi mwingine
Kutafuta pesa na kufuata mahitaji ya home ni kazi ya mwanaume
 
Wakuu,

Ukienda Zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndio wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama nyanya,vitunguu.nk. Ukienda Zenji sokoni utawaona wanaume kibao wana vikapu vikapu.

Mkuu unaonaje huu utaratibu huu je mpaka huku bara?
Ni jins mnavyoish tu wnyw me sokon naenda watt naogesha wkt mwngn namsaidia kupika kubeba mimba tu nimeshndw kumsaidia.jaman mapenz kusaidiana ndo yananoga
 
Inategemea na asili ya seheme husika,
Kwa zanzibari nimefika nikakuta ni kama utamaduni wao,
Inapendeza sana na hata TANGA ndivyo tulivyolelewa.
 
Hao si hawaruhusu makahaba huko, so mabachela hawana pa kuponea na mwenye mke lazima awe macho na ndo maana kesi za ubakaji nyingi.
 
Utamaduni mzuri ni kwa wale wanao practice... There is no universal culture remember!!!
 
Mimi sio mzanzibari lakini mke wangu hajawah kanyaga sokoni,ni hobi tu mkuu usipanic
 
We dini hairuhusu we kwenda sokoni?!
Kwan hujui au unajitoa ufahamu kwamba Mtume(S.a.w) alikua hapendi wanawake wajae masokoni(kwa kuhofia machafu ya zinaa) na hiyo ni moja ya dalili za KIAMA......WANAWAKE KUJAA MASOKONI.
 
Back
Top Bottom