lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Mhh hakuna kitu kama hicho mkuu mbona wanawake wengi sana sokon wanaume wapo pia ila asililmia kubwa ndo wanunuzi japo kua wanaume wapo pia au mwenzetu utuambie znz sehem gani maana darajan nfo usiseme wanawake walivojaa
Kusemaje unataka kutuambia wanaume wote wa zenji wamelishwa limbwata au
Mkuu darajan kote hadi ndani mi nshaingia wapo baadh sana wanaonunua sana sana samaki tu wanaume wa zenj huwa wanapenda kwenda kuchagua samaki wawapendao wao anaona akimpa mwanamke atapewa samak kawaida ambao hawawataki wao
tupia picha tumalize ubishi mkuu
tupia picha tumalize ubishi mkuu
Wanaume wakizanziberi wanajua kudekeza wanawake, wanajua umuhimu wa mwanamke hadi raha, hivi mwanaume anayejali kiasi hicho mwanamke hata akili ya kuchepuka anatoa wapi,
sio wa bara wajeuriiiiiiii wababeeeee wanaboreeeeeee hela zenyewe za mawazo, unakuta mwanamke unamenyeka masaa 18 bado hayo masaa 6 mtu anataka unyumba lol,
Hahahahahahah!! wababe piteni tu msiniquote tafadhali Uuuuuuuuuuuu!!hihihhihihihihihi!!/QUOTE]
umewachokoza ngoja waje hapa utakoma
hapa ndo mnaniacha hoi tu.
kuhusu wanamme kwenda sokoni, ni utaratibu wa waislam kulinda wake zao. wanahisi mwanamke kwenda sokoni mwishowe atamegwa.
sikia kumegewa kwa jirani isikukute. hivyo ni wivu tu
umewachokoza ngoja waje hapa utakoma
Na wakuje tu, wao wanafikiri ubabe, kiburi ndio siraha ya mapenzi, muke anatakiwa adekezwe atii, ajaliwe ndio utaona raha ya mapenzi, ila limpenzi linakupeleka mkiki mkiki kama tupo jeshini hadi ukiliona unakasirika si shida hiyo.
Sio wivu bali ni kumuepusha na vishawishi,, uislam umempa mwanamke darja ya juu sana kulinganisha na mwanamume,, hivyo hao wanamume mnaowaona masokoni wakinunua mahitaji ya nyumbani ni miongoni mwa majukumu ambayo mwanamume yambidi ayatekeleze kwa familia yake. Tukiachilia mbali hilo mwanamume anawajibu pia wakumsadia mkewe shughuli mbalimbali za nyumbani ikiwemo kupika, kufua n.k.