Wanaume kwenda Sokoni: Ni moja ya maajabu ya Zanzibar

Darajani Wanawake kibao , Kwereke Wanawake kibao hapo soko la Saateni Wanawake kibao. Wewe ulienda soko lipi?!
 

LUKELO.......

Ulienda somo lipi?
Maana darajani Wanawake kibao , soko la Mwanakwerekwe Wanawake kibao.....hata haka kasoko cha Saateni hapo Wanawake kibao!!!!
 

We Lukelo Sakafu.....
Ulienda somo gani?
Maana Darajani Wanawake wa Kizanzibari wamekaa kibao; ukienda somo la Mwanakwerekwe Wanawake kibao; hapo Saateni hapo Wanawake kibao!
Tena sio wanunuzi tu hawa wauzaji wapo Wanawake....
 
Navyopenda kwenda sokoni ningeweza kweli kukaa tu ndani?Sidhani
 
Kama wewe unashangaa wanaume wa Zanzibar kwenda sokoni kukunua chakula cha family yake basi na mimi pia nashangaa kuona wana wake wa bara nakwenda bar kunywa pombe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…