Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Kama sio mwanaume wa ndoto zake kwa nini asiwe na mchepuko?

Kiuhalisia wanawake ni waaminifu linapokuja suala la mahusiano hasa wakiwa na wanaume wanaowapenda.
Tena kama hujampiga matukio ni ngumu mwanamke kukusaliti.
Wewe umeona wanamake wamekuja kupinga hoja yangu ?! Je hiyo inakupa tafakuri gani ?! Je wewe unadhani unawafahamu wanawake kuliko wanavyojifahamu wenyeme ?
 
Mbona hujata wale ambao Jumapili hufika kanisani kuweka ushahidi kwamba walikuwepo ila hutoroka Ibada kwenda ghetto la muhuni ngenya ikanyongwe? Wanaume wengi hawana time na Ibada hivyo Jumapili huwaacha huru wake zao wakidhani wanakwenda kumtumikia Mungu. Waulize hao wake zao waaminifu wana bodaboda wao special?
 
hakika
 
Hiyo mbona inaeleweka. Ndio maana simtilii maanani mke wangu hata aseme ananipenda vipi. Enzi hizo vijijini nishaona kwenye familia kadhaa mtoto wa katikati unakuta ni wa mzee mwingine na mzee mwenye mke anajua na ndoa haijavunjika.

Ndio maana nasema wanawake ni wale wale tangu enzi hadi sasa hawatofautiani. Wewe mwanaume kamata wa kwako mmoja muishi ila hata siku moja usije kumuamini 100%
 
kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…