Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Kama wanawake ni 50.5% na wanaume ni 49.5% na kama unavyojua ngono inahusisha wanaume na wanawake kama ukikuta wanawake milion 10 waliochepuka leo nilazima ukute na wanaume milion 10 waliochepuka pia. Kwahiyo masuala ya ngono hutakiwi kulaumu upande mmoja
 
africans are living the very original lifelstyle.
 
Hivi ni mimi tu ambaye sina wivu wowote kwa kiumbe anayeitwa mwanamke au kuna wengine??

Mimi ukichepuka ni mpaka nikukamate hapo umeenda, nisipokukamata hata kuhisi au kukutilia mashska sihitaji kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…