Wanaume leo nawapa ukweli mchungu: Hakuna mwanamke asiye na mchepuko

Wanawake wanaongoza kwa kubanjuliwa sana tu

Na si kwamba hatujui

Banjuliwa endelea kujificha na sina haja ya kukufuatilia we fanya utakanyo wewe

Ila siku nimekunasa live

Kwa heri tusijyane
 
Hili wanaume tulishakubali kabisa.

Na kuna sheria yake kabisa kwamba;

The only hole a man enters alone is his grave. All the other holes are communal property.

Kuchiti ni uhuru wako wa kikatiba lakini endapo ikibainika, mahusiano na ndoa ndio GUDUBAIIII.
 
Wanawake wa siku hizi sio waaminifu kabisa imagine chupi niliyomnunulia mkewangu juzi leo nimekuta dada yake kaivaa..nimesikitika sana
 
I like this observation
 
Wanawake wanaongoza kwa kubanjuliwa sana tu

Na si kwamba hatujui

Banjuliwa endelea kujificha na sina haja ya kukufuatilia we fanya utakanyo wewe

Ila siku nimekunasa live

Kwa heri tusijyane
Mwanamke akikukamata una cheat?
 
Nakubaliana na wewe ila hiyo si uache kazi ufanye kazi, maana ni shughuli kubwa ya kufuatilia huo mchongo, ndio maana huwa nasema kikubwa kuaminiana tu basi

Mchongo wa kwanza; kuna mke wa mtu alikuwa anatembea na mangi wa dukani,demu ndio alikuwa anamtafuta mwamba, kwa maana mwamba hakumtafuta mwanamke ,hapo hata mkeo angekuachia simu mwaka mzima usingejua kitu, mwamba alikuwa anatoa laki laki hizi sana,mke akafikia kipindi akataka mpaka kumzalia bwashee, mchongo ulifeli pale mke alipojisahau kutuma meseji,ikaenda kwa mume,leo tunapoongea kawa single maza

Mchongo wa pili: mimi binafsi,hakuwa mke wa mtu bali wa jamaa tu,demu kaenda saluni kusuka na alipomaliza tu nikamdaka na kufanya yetu,kaenda magetoni akijulikana katoka saluni na kweli nywele kasuka

KIKUBWA TUAMINIANE TU LA SIVYO TUTAKUWA MACHIZI
 
True
 
Hivi ni mimi tu ambaye sina wivu wowote kwa kiumbe anayeitwa mwanamke au kuna wengine??

Mimi ukichepuka ni mpaka nikukamate hapo umeenda, nisipokukamata hata kuhisi au kukutilia mashska sihitaji kabisa
Wewe ndio unaishi na amani ya kweli,ukifikiria sana hawa viumbe utakufa mapema
 
Huo ulinzi mbona kama ni adhabu kubwa sana, kama ndo hvo hata nyuzi za utapeli wa chadema tutazipost kweli? najua mchumba wangu wa singida hana shida hyo.

Anyway.....Gongweni tu Ruksa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…