Wanaume Madomo Zege Bado Wapo?!

Siku hizi hatutongozi, pesa inaongea..
 
Me nahisi ndo domo gundi kabisa, nimekumbuka kipindi tunacheza kombolela nikajaribu tongozo kwa kabinti kamoja, Ile nimemaliza tu tongozo mwili mzima ulikua umeloa jasho na kuzimia juu.. Kuja kuzinduka ni asubuhi.. Mpaka Leo sijawai kutoa tongozo kwakweli.
 
Yaani I remeber rafiki yangu mmoja aliambiwa nakosa usingizi nakuwaza wewe tu, nilicheka mpaka nkadondoka chini alikasirika balaa.
vp wewe hajawahi kukufuata mtu anakuambia maneno hayo, au bila wewe hawezi kuishi?
 
Nikinywa maji nakuona kwwnyw glass. Nilimkataa nikajua ni mchawi. Unanionaje kwa mfano!!! Ghkaaaa ndukiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ungemsikiliza vizuri ungemuelewa tu.Kila mtu huwa na gia yake ya kuanzia. ukiona anazunguka kwanza mwambie tu aseme anachotaka
 
Ulichokiandika ndani na heading haviendani mpka xaiv cjaelewa ni bangi aina gan unayotumia?
 
WAPO MKUU TENA WANAZIDI KUONGEZEKA KUTOKANA NA VYAKULA KAMA CHIPS NA KUKU WA KIZUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…