Wanaume maskini, wenye elimu na upeo mdogo wa kufikiri kutoka jamii duni ndiyo hukataza wake zao kufanya kazi za Uzalishaji

Mwanaume ni kichwa cha familia lakini hiyo haiondoi HAKI ya mwanamke kufanya Kazi?

Alafu ninyi ndio baadaye mnasema kwenye kugawa Mali wasipewe 50*50 za Mali. Alafu mliwazuia kutafuta Mali.
Hivi kuna ubinafsi na ukatili zaidi ya huo?
Hivi wewe tafsiri ya kufanya kazi Kwa mwanamke unaichukuliaje?
 
Kwani lengo la kuua ni kupata mahindani wa maisha rafiki yangu Robert mbona anataka ku-reason kama "feminist" wakati na kuaminia kwa mada zingine ila sio hi, hamna mwanaume anaependa ligi nyumbani kwake always husband is above a wife
Huyu kwenye suala la ndoa anaonekana hajui kitu, afahamu tu kuwa maisha ya ndoa hayana shule! Kila wanandoa wana mtindo wao wa maisha. Hakuna fomula moja ya ndoa! Pengine hiyo ndio fomula yake sasa asilazimishe wanandoa wote wakaishi kama yeye!
 
Kazi ni Ile inayokuzalishia kipato hiyo ndio tafsiri ya Kazi.

Shughuli za nyumbani sio Kazi kwa sababu hauzalishi chochote na haulipwi.
Mwanamke kule watoto
Kupika
Kuangalia mifugo
Usalama wa mali na nyumba
Sio kazi

We unataka mwanamke umkute mgodini, dereva wa lorry, anfyatua tofali ndo ujue ni kazi?
 
Huyu kwenye suala la ndoa anaonekana hajui kitu, afahamu tu kuwa maisha ya ndoa hayana shule! Kila wanandoa wana mtindo wao wa maisha. Hakuna fomula moja ya ndoa! Pengine hiyo ndio fomula yake sasa asilazimishe wanandoa wote wakaishi kama yeye!
Sahihi kabisa hamna formular moja ya ndoa, ana onekana masuala ya ndoa bado mchanga sanaa, ndoa acha tu itwe ndoa haina mjuaji, siku nilio shuhudia jaji anapigwa na mke wake ambae ni jaji wa mahakama ya mwanzo na sie wanakijiji tukaenda kuwatuliza na kusuluhisha nilo nyoosha mikono.
 
Kazi ni HAKI ya msingi kwa mtu.
Hakuna lugha nyingine ningeweza kutumia zaidi ya lugha Kali kwa watu wanaonyima HAKI hiyo.

Ni Sawa uniambie ntumie lugha rafiki kukemea ukeketeja, au ndoa za utotoni kisa kuna watu wenye mtazamo tofauti na wangu.

Kumzuia mtu kufanya Kazi ni uhalifu, uovu, n kumnyima Uhuru mtu huyo na kumfanya tegemezi na mtumwa. Bado unataka niongee kwa Lugha ya kuperemba?
Sijajua hoja yako imeegemea wapi lakini bado nachukulia kama ni utashi wako binafsi au mtazamo wako ingawa njia unayotumia kufikiasha hoja yako ina ukakasi.......

Mjadala ungeweza kuwa wenye manufaa zaidi kama ungekuwa huru kimitizamo......

Sisi katika imani yetu tunaambiwa kuwa kabla hujafikiria kuwa na mku au kuvuta jiko unatakiwa uwe na uwezo wa kumtunza mke, kwa maana ya huduma zote za msingi zinazomhusu.....sio mje kusaidiana kwani yeye pia ana majukumu yake dhdi yako au mji wenu.....

Mwanamke hawajibiki kuchangia lolote kwenye majukumu ya mumewe bali inabakia kuwa ni khiyari yake lakini halazimishwi na sheria kama ilivyo kwa mwanaume.......

Mwanamke anaruhusiwa kufanya kazi lakini katika utaratibu maalumu....ambao umekubalika kwa mujibu wa muongozo lakini bado pia sio lazima ni khiyari yake kwani anaweza akasema sitaki na wewe unawajibika kumhudumia as long as ni mkeo........
 
Mwanamke kule watoto
Kupika
Kuangalia mifugo
Usalama wa mali na nyumba
Sio kazi

We unataka mwanamke umkute mgodini, dereva wa lorry, anfyatua tofali ndo ujue ni kazi?

Nishakuambia Kazi ni Ile inayokuingizia kipato au kukupatia mahitaji.

Kazi zipo za aina nyingi kwa nini utaje migodini au udereva?
Wapo wanawake wanaoweza kufanya Kazi huko migodini na wapo wanaume wasioweza kufanya Kazi huko migodini.

Kazi zipo nyingi msitafute kichaka cha kuficha dhulma yenu.

Kwani wanaume wote wanaweza Kazi zote?
Kuna wanaume hawezi udaktari lakini wapo wanawake wanaweza.

Huko migodini unafikiri kila mwanaume anaweza Kazi za migodini?

Kutunza Mali yako sio Kazi
Yaani useme ulikuwa na Kazi ya kulea au kumtunza Mkeo hivi inaingia akilini?
 
Mwanamke kufanya kazi za huko maofsini na nyingine ndo kumdhalilisha zaidi kuliko kumpa heshima
Mwanamke mja mzito na tumbo anahema eti yupo kazini?
Mwanamke yupo period?
Mwanamke ana mtoto mchanga?
Mwanamke maungo yake na heshima anaipata alipata stara ya kutokuhenyeka kazini
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, amsaidie mmewe
 
Sijajua hoja yako imeegemea wapi lakini bado nachukulia kama ni utashi wako binafsi au mtazamo wako ingawa njia unayotumia kufikiasha hoja yako ina ukakasi.......

Mjadala ungeweza kuwa wenye manufaa zaidi kama ungekuwa huru kimitizamo......

Sisi katika imani yetu tunaambiwa kuwa kabla hujafikiria kuwa na mku au kuvuta jiko unatakiwa uwe na uwezo wa kumtunza mke, kwa maana ya huduma zote za msingi zinazomhusu.....sio mje kusaidiana kwani yeye pia ana majukumu yake dhdi yako au mji wenu.....

Mwanamke hawajibiki kuchangia lolote kwenye majukumu ya mumewe bali inabakia kuwa ni khiyari yake lakini halazimishwi na sheria kama ilivyo kwa mwanaume.......

Mwanamke anaruhusiwa kufanya kazi lakini katika utaratibu maalumu....ambao umekubalika kwa mujibu wa muongozo lakini bado pia sio lazima ni khiyari yake kwani anaweza akasema sitaki na wewe unawajibika kumhudumia as long as ni mkeo........

Mtazamo unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi.

Waliotunga Sheria hizo kama maelezo uliyoyaeleza hawakuwa na mtazamo sahihi kwa sababu uhalisia unawaacha mbali.

Kumbuka Zama pia mwanamke hakutakiwa kupewa ELIMU ambapo mtazamo huohuo unafanana kila kitu na wenye mtazamo mwanamke asifanye Kazi. Akae nyumbani.

Kiuhalisia ni kuwa, Kazi Ndio sababu ya mtu kuishi kwa sababu bila Kazi mtu hawezi kuwa mtu Bali mtumwa na utu wake lazima uguswe.

Hiyo kusema mwanamke anaruhusiwa pia ni namna ya ubinafsi. Anaruhusiwa na Nani?

Kwenye HAKI ya mtu hakuna mwenye mamlaka juu ya HAKI ya mwingine.
Kwamba mtu ni HAKI yake kuishi alafu useme mtu anaruhusiwa kuishi.
Statement nzuri ni mwanamke anahaki yaani ni lazima afanye Kazi. Hapo utakuwa sahihi
 
Hayo wewe hayakuhusu mpeleke mke wako wewe akafanye kazi ungekuwa na uelewa na jua Hili na maisha haya na ugumu huu usingemtoa mke wako akatafte pesa, si tunajielewa na wao wameelewa nd maana wamekaa nyumbani, Kila kitu shida usafir shida, biashara zenyewe shida, kazi shida, akae atulie tu humuoni huko barabarani
 
Mtazamo unaweza kuwa sahihi au usiwe sahihi.

Waliotunga Sheria hizo kama maelezo uliyoyaeleza hawakuwa na mtazamo sahihi kwa sababu uhalisia unawaacha mbali.

Kumbuka Zama pia mwanamke hakutakiwa kupewa ELIMU ambapo mtazamo huohuo unafanana kila kitu na wenye mtazamo mwanamke asifanye Kazi. Akae nyumbani.

Kiuhalisia ni kuwa, Kazi Ndio sababu ya mtu kuishi kwa sababu bila Kazi mtu hawezi kuwa mtu Bali mtumwa na utu wake lazima uguswe.

Hiyo kusema mwanamke anaruhusiwa pia ni namna ya ubinafsi. Anaruhusiwa na Nani?

Kwenye HAKI ya mtu hakuna mwenye mamlaka juu ya HAKI ya mwingine.
Kwamba mtu ni HAKI yake kuishi alafu useme mtu anaruhusiwa kuishi.
Statement nzuri ni mwanamke anahaki yaani ni lazima afanye Kazi. Hapo utakuwa sahihi
Kwa mantiki ya hoja na kwa mujibu msingi wa Imani yangu......ni kuwa muongozo niliopewa sio wa kutunga na mimi nawajibika kuufuata.......

Kuuita muongozo wangu wa kutunga na kuendelea kujadili kunaweza kunifanya nimkufuru Mola wangu......

Mimi binafsi nimeuingia mijadala kwa kuegemea muongozo wa Imani yangu....

Naomba niishie hapa na nakubali kutofautiana na wewe kifikra.......
 
Mwanamke kufanya kazi za huko maofsini na nyingine ndo kumdhalilisha zaidi kuliko kumpa heshima
Inategemea na Kazi yenyewe. Kuna sheria za Kazi pia.
Kwa mfano, sio kila mtu anaweza kuwa mwamamuziki isipokuwa wale wenye kipaji na uwezo wa muziki. Mtu yeyote asiye na uwezo au kipaji cha muziki akifanya muziki lazima adhalilike

Mwanamke mja mzito na tumbo anahema eti yupo kazini?
Mimba sio uovu, mimba sio aibu.
Yaani mimba ndio iwe sababu ya kumzuia mwanamke asifanye Kazi. Labda zile zinazotishia kutoka, ndio mwanamke atapewa mapumziko Mpaka Hali itakapokuwa sawa

Mwanamke yupo period?

Ndio maana kila kukicha watu wenye akili na wanaojua maisha wanahangaika kugundua namna ya kurahisisha maisha. Siku hizi kuna pedi nzuri kwaajili ya kuzuia damu kuvuja. Siku hizi mwanamke asipokuambia yupo period huwezi kujua kabisa.
Hivyo kazi zinaendelea.
Mwanamke ana mtoto mchanga?

Ndio maana wenye akili wakawapa likizo ya uzazi kwa muda Fulani kwaajili ya mama kumtegemeza kichanga.

Mwanamke maungo yake na heshima anaipata alipata stara ya kutokuhenyeka kazini
Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume, amsaidie mmewe
Kazi sio lazima za kuhenyeka. Kazi zipo nyingi Mkuu kwa nini utaje za kuhenyeka?
Kuna Kazi zisizohitaji kutumia nguvu nyingi. Zipo nyingi Sana.
 
Makazini kuna michezo ya hatari yuko tayari kuitwa Joka la Kibisa

Makazini kuna michezo ya hatari
Dunia hii Mama lukumba lukumba, dunia ina mwendo kama wa ngamia...×2.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
JamiiForums-57411519.jpeg
 
Kwa mantiki ya hoja na kwa mujibu msingi wa Imani yangu......ni kuwa muongozo niliopewa sio wa kutunga na mimi nawajibika kuufuata.......

Kuuita muongozo wangu wa kutunga na kuendelea kujadili kunaweza kunifanya nimkufuru Mola wangu......

Mimi binafsi nimeuingia mijadala kwa kuegemea muongozo wa Imani yangu....

Naomba niishie hapa na nakubali kutofautiana na wewe kifikra.......

Naomba hiyo imani
Wewe ni Mkristo, muislam, au dini za jadi?
Tunaweza kujadili kwa imani yoyote uliyonayo.

Moja ya sifa ya imani ya kweli lazima izingatie HAKI ya kufanya Kazi kwa mtu(mwanamke na mwanaume )
 
Inategemea na Kazi yenyewe. Kuna sheria za Kazi pia.
Kwa mfano, sio kila mtu anaweza kuwa mwamamuziki isipokuwa wale wenye kipaji na uwezo wa muziki. Mtu yeyote asiye na uwezo au kipaji cha muziki akifanya muziki lazima adhalilike

Mimba sio uovu, mimba sio aibu.
Yaani mimba ndio iwe sababu ya kumzuia mwanamke asifanye Kazi. Labda zile zinazotishia kutoka, ndio mwanamke atapewa mapumziko Mpaka Hali itakapokuwa sawa

Ndio maana kila kukicha watu wenye akili na wanaojua maisha wanahangaika kugundua namna ya kurahisisha maisha. Siku hizi kuna pedi nzuri kwaajili ya kuzuia damu kuvuja. Siku hizi mwanamke asipokuambia yupo period huwezi kujua kabisa.
Hivyo kazi zinaendelea.

Ndio maana wenye akili wakawapa likizo ya uzazi kwa muda Fulani kwaajili ya mama kumtegemeza kichanga.

Kazi sio lazima za kuhenyeka. Kazi zipo nyingi Mkuu kwa nini utaje za kuhenyeka?
Kuna Kazi zisizohitaji kutumia nguvu nyingi. Zipo nyingi Sana.
Kwanini utenge kazi na mazingira
Unataka wanawake wafanye kazi sawa wanaume na kazi zozote
Sasa kwanini utenge vigezo vya kuwa kazini

Acha kupingana na nature
Mwanamke ni mzazi na mlezi wa familia
Aangalie watoto, mme na mali
 
Naomba hiyo imani
Wewe ni Mkristo, muislam, au dini za jadi?
Tunaweza kujadili kwa imani yoyote uliyonayo.

Moja ya sifa ya imani ya kweli lazima izingatie HAKI ya kufanya Kazi kwa mtu(mwanamke na mwanaume )
Mimi ni muislamu

Unapoita mambo ya imani kuwa ni ya kutunga nakosa namna ya kuendelea na mjadala huu kwa huko ndiko nilikoegemea kiimani..
 
Back
Top Bottom