Inategemea na Kazi yenyewe. Kuna sheria za Kazi pia.
Kwa mfano, sio kila mtu anaweza kuwa mwamamuziki isipokuwa wale wenye kipaji na uwezo wa muziki. Mtu yeyote asiye na uwezo au kipaji cha muziki akifanya muziki lazima adhalilike
Mimba sio uovu, mimba sio aibu.
Yaani mimba ndio iwe sababu ya kumzuia mwanamke asifanye Kazi. Labda zile zinazotishia kutoka, ndio mwanamke atapewa mapumziko Mpaka Hali itakapokuwa sawa
Ndio maana kila kukicha watu wenye akili na wanaojua maisha wanahangaika kugundua namna ya kurahisisha maisha. Siku hizi kuna pedi nzuri kwaajili ya kuzuia damu kuvuja. Siku hizi mwanamke asipokuambia yupo period huwezi kujua kabisa.
Hivyo kazi zinaendelea.
Ndio maana wenye akili wakawapa likizo ya uzazi kwa muda Fulani kwaajili ya mama kumtegemeza kichanga.
Kazi sio lazima za kuhenyeka. Kazi zipo nyingi Mkuu kwa nini utaje za kuhenyeka?
Kuna Kazi zisizohitaji kutumia nguvu nyingi. Zipo nyingi Sana.