Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Hahhaaaa, Aisee mimi nauliziaga bei ili nijue namchangia Magufuli na serikali yake sh ngapi. Nikikuta naichangia serikali yagu tukufu pesa kidogo, Basi naondoka hiyo hoteli naenda tafuta hoteli ambayo nitachangia pesa nyingi.



mie huwa naona kero! kuna sk mkaka mmoja akaishiwa 500 akaniambia mbiti ongezea hapa (hapo tupo kwa daladala wanachuo) !heee fika hotelini aliuliza bei ya koka na pepsi! nilipomaliza kunywa soda huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Unapomtoa out mwanamke mpeleke mahali ambapo unajua kabisa hata ale/anywe nini utakuwa na uwezo wa kulipa.

Sasa mfano ndo unakuta kipindi upo njema umehangaika weeee kutaka kumtoa out anachomoa. Siku ya siku anaomba yeye mwenyewe out, Halafu anakuwa kama kakupiga counter attack vile, anakukuta mbuni nyeusi huna mfukoni, kukataa kumwambia kuwa atafute siku nyingine huwezi. Mwanaume unajitosa mzimamzima, Kwani kitu gani bwana.???
 
there u are demi !hata mm ukija nitakupeleka napojiweza ! juic 300/ bia 1500 teh !

Kuna wengine ukianza kinyonge kama hivyo humpati, Lazima ujitutumue aisee. Ukishapata unachotaka unarudi kuwa normal.
 
Ni sawa. chagua wewe sehemu ya kumpeleka ili uendane na mfuko wako.
 



we nawe unapataga vimeo ! au unapata wanywa pombe /au wapenda starehe !mie sijui naombaje hyo out kwa men jaman khaaaaaaaaa
 
we nawe unapataga vimeo ! au unapata wanywa pombe /au wapenda starehe !mie sijui naombaje hyo out kwa men jaman khaaaaaaaaa

Hahahahaa vimeo wapi.? Wala siyo vimeo, Si huwaga mna falsafa yenu mnasema usimkubali haraka.?
 
Hahaha haya nitawapigia maana mhh

mzee mzima haishiwi maneno
 
Kheeeee.....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…