Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Sasa mbona ulikuwa husemi Emmy!? Nasikia eti una sauti nyororo naweza kudata nikagoma kukata simu lol! Haya nimekodoa macho nasubiri hizo digits nikusikie hewani. Usione aibu kuwa mkweli, msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu.
Swahiba ilikuwaje?? Nliona cheo chako kimebadilika ghafla toka Expert Member mpaka "Banned"

Au yale majaa yalikuudhi ukayapa za uso?
 
Napendaga mkifunguka kiasi hiki, usijali[emoji124] ill call you muda si mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…