Feiaidan
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 237
- 129
Daaah!Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Sikuwahi kujua hii kitu.
Kumbe tukiwaomba namba tukasahau kupiga inawachosha kungoja!?
Aisee.
Nimejifunza kitu.
Jumapili kuna mdada niliomba namba yake akanipa.
Sijakumbuka kumpigia!
Sent using Jamii Forums mobile app