hahaha siringi bwana we naringa nn sasa ! uzi gan nimeonesha kuringa ? haahhaa jaman ! bas mie kila mtu anaenifaham paap huwa ananiambia mbiti ni talkative !bas naongeza na lako kuwa naringa !
yes school fees baba wa kufikia nanyupu atanitumia kwa acc leo !
Unapajua Nanyupu Mozambique?
[emoji338] [emoji338] [emoji338]Hahaaaa. Nimecheka sana.
Walio wengi watapita kimya kimya. Ila wanaume muwe mnapiga jamani pale mnapoomba namba na mkafanikiwa kupewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujumbe umefikaNimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Nimekumbuka tu enzi hizo mwanaume anakuja vizuri tu anaomba namba unampa bila hiyana ila siku inapita wiki, mpaka mwezi haupokei simu kutoka kwake.
Kwanini unaomba namba na kusave kabisa kama hauna nia ya kupiga?
Inakera mjue.
Kijiweni mashosti nao wakaligusia hili, eti "kuna jamaa kaomba namba kwenye basi wiki sasa hajapiga kabisa, sijui aliomba ya nini mxieee"
Wanaume mjirekebishe bwana kama mtu hautaki mawasiliano nae usiombe namba, inakera halafu ni kama kumchoresha mtu.
Hasa kwa wale watu ambao bado wanasearch au MBA's inakera.Ndiyo maana siku hizi ukiomba namba mwanamke anakwambia nipe ya kwako.
Please remember to call back.
Hivi ndivyo simu zenu huwa zinasubiriwa!![emoji23] [emoji23]
Yupo wapi?Naona kuna mtu ananichimba...
Halooo. ππππ[emoji338] [emoji338] [emoji338]
Usiogope kuchimbwa Miss HornetNaona kuna mtu ananichimba...
Wajua siwezi kukunyima Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba namba ya simu Hajarπππ
πππ, mtume njiwa anileteeWajua siwezi kukunyima Sesten. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya nakutajia andika. [emoji12]
Nishamtuma tayari. [emoji2] [emoji2] [emoji2]πππ, mtume njiwa aniletee
Ufuatishe na kawimbo kumsindikiza njiwaπππNishamtuma tayari. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
hajar mambo. nikutongoze beb?Nishamtuma tayari. [emoji2] [emoji2] [emoji2]