Wanaume mkiomba namba ya simu mpige

Mkuu ujaolewa tuuh..! Ilikuwa unasaka mchepuko mmhh...!

Street teacher
Nimeshaolewa mkuu,
Hapana sisaki mchepuko ndo maana nikaanza "enzi zangu"
Hapa nagusia zaidi wanawake wenzangu ambao wanakereka na hii tabia kwa kuwa na mimi ilishawahi kunikera huko nyuma.
 
Kuna manz mmoja, ana sifa zote nazotaka ila yule mtoto nilichukua namba kila nikipiga hapokei...nikikutana nae physically tunaongea freshi ila nikipanga kumpigia hapokei tena.. We suzy mungu anakuona akiyamama, nikikupata ntakuchakazaaaaa...!
 
Nimeshaolewa mkuu,
Hapana sisaki mchepuko ndo maana nikaanza "enzi zangu"
Hapa nagusia zaidi wanawake wenzangu ambao wanakereka na hii tabia kwa kuwa na mimi ilishawahi kunikera huko nyuma.
Pole nilitaka nishangae make weye ni mkongwe wa hapa jf, ningekuona mzembe sana..! Kushindwa kumng'ang'ania ata babu Asprin..[emoji125][emoji125]

Street teacher
 
Naomba namba yako basiii, napiga sasa hivi

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Haya ndo maneno yao, halafu nikiwaambia mnabisha, haya bwana ....
 
Pole nilitaka nishangae make weye ni mkongwe wa hapa jf, ningekuona mzembe sana..! Kushindwa kumng'ang'ania ata babu Asprin..[emoji125][emoji125]

Street teacher
Huyo bazaz hapana...kazeeka ila bado ni kijana saa hizi anakata spring chicken.
 
Huyo bazaz hapana...kazeeka ila bado ni kijana saa hizi anakata spring chicken.
Mhh! Alikufanya nini au ndiyo hivyo tukiona manyoa ujue kaishaliwa..! [emoji16][emoji16][emoji16]

Street teacher
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…